de pedezyee
Senior Member
- Jun 21, 2015
- 104
- 108
Nahitaji aiseeKama unahitaji miche wasiliana nasi sasa.
Gharama za miche ni shilingi 400@
Tunapatikana Boko -Timiza Kibaha.
Usafiri ni bure hadi mkoa husika ukichukua kuanzia miche 500.
Call/text/WhatsApp
0766006128
0655715184
0783579456
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa hiyo mikorosho yote kisha lima kwa trekta hallow then tafuta miche ya mitiki upande 2.5metres apart&each. So kwenye ekari1 utakuwa na miche 640.
Ukitaka stamp za hii miche nitafute mimi kwa shehena yoyote ile bei sh 250 haipungui.
Kama upo ukanda wa pwani kipindi kizuri cha kupanda ni kuanzia 15th march.
Unaitaka kwa lini mkuuNaomba mawasiliano yako na pia nataka kujua kama unaweza kuniletea mbegu mkoa wa Lindi wilaya ya Liwale
Sent using Jamii Forums mobile app
katika mbegu ambazo ninaweza kuziandaa ni za mitiki hadi kupanda kitaluni
Mkuu bado upo hai na ulifanikiwa kupanda by that time 2014Wakuu, mimi mwenyewe nasubiri majibu ya kiundani zaidi kuhusu hiki kilimo cha mitiki.
Nataka nianze mchakato 2014, ili by 2035 nikiwa NIMESHAKUFA (au nikiwa bado niko hai at 60's) mwanangu aliye na miaka 3 sasa atakuwa ana 25 yrs (akiwa Chuo Kikuu akisomea masuala ya Public Administration, Bussiness Administration na/ au mambo mengine yanayofanana na hayo) ili akimaliza Chuo kikuu atumie hizo billioni kadhaa zitakazo kuwa zimetokana na mitiki kusimamia kazi zake kwa kuhakikisha anaajiri wataalamu watakaoendesha miradi yake kwa ufanisi.
.....Maige alisema wakati mahitaji ya mbao nchini kwa mwaka yanafikia meta za mraba milioni tano, uwezo wa mashamba yaliyopo ni kuzalisha meta za mraba milioni 1.5 tu. Alisema Sh milioni 40 zinatosha kuhudumia ekari moja ya shamba la mitiki kwa miaka 20, lakini mazao yake yakazalisha zaidi ya Sh bilioni 3. .......
Reference (March 2012): MOROGORO FAMILY - MOROGORO YETU: TANAPA 'YALIWA' KWENYE MAGOGO YA MITIKI.
Corona ilikuacha salama mkuu?Kuvuna ni maiak 20?
Sasa hapo jamani si nitakuwa nishazeeka kama nitakoswa koswa na magonjwa, polution, ajali , nk
Miti ya mbao inahitaji kuwekewa mbolea??Hivi mitiki inafaa kupandia mbolea ya kuku??
Labda tu mbolea iwe na mbolea ya kutosha na upewe ushauri na wataalam usiweke mbolea which is very unlikelyMiti ya mbao inahitaji kuwekewa mbolea??