Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

Miche Bora inapatikana kwa shilingi 400 tu. Karibuni Sasa

0766006128
0783579456
0655715184

Tunapatikana Kibaha Pwani.
Usafiri ni bure ukichukua kuanzia Miche 1000
 
Nimepitia uzi huu mwanzo mwisho - napenda kuwafahamisha pia kwamba na mimi ni mwanachama wa kilimo cha Mitiki - nimepanda heka mbili mwaka huu, plan ni kupanda heka mbili mbili kila mwaka - wazo ni kufikisha heka 20. Kilimo changu nafanyia Tuliani Morogoro.

Nimepanda 2.5m space.
Kwa hiyo kwa 70m urefu wa heka (Kizamani) ni miche 28
Kwa heka ya mita 70 kwa 70 ni jumla ya miche 784.

Nawashukuru wachangiaji wote kwa mawazo mazuri, na kuhusu miaka 7 - 40 ili kukomaa hilo si tatizo kwangu maana pia na mimi ningefurahi kama baba yangu angelinifanyia hili ili na mie nipate pa kuanzia, so its not bad if i do this to my kids.

Hata mie mwenyewe who knows, nani anajua siku ya kundoka duniani... Lets go for 40 yrs investment.
 
Hongera sana Mkuu FUSO
Nimekusudia kuanza na Heks 5 maeneo ya Bagamoyo...Naomba uzoefu wako miche bora kabisa yenye afya ninaweza kupata wapi?
 
Kwa huduma ya miche bora ya mitiki wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0766667429
Bei ya mche ni Tshs 300 tu
Tunapatikana Kilombero -Morogoro na Kibaha
 
Kwa huduma ya miche bora ya Mitiki karibu sana tukuhudumie.
Bei ya mche ni shilingi 1000
Na stump (kipandikizi) ni shilingi 400 tu katibu sana tukuhudumie.
Tunapatikana kibaha pwani.
0766006128
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom