Kilimo cha miti

Kilimo cha miti

somvi

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
17
Reaction score
4
Habari wana Jamii Forum, hongereni kwa hatua ya uchaguzi. Naomba msaada jwa yeyote mwenye ujuzi wa kilimo cha miti.

Mimi ni graduate wa jinsia na maendeleo bado cjapata ajira had sasa nafikirikujiajiar kwenye kilimo cha miti. uwezo wa kupata eneo la kufanyia kazi km hekari 3-4 ninao. Je, ni aina gani ya miti inayostawi huku masasi, mkoani mtwara?

Napenda kupanda miti ambayo naweza kuungia mkataba na mashirika yanayotumza hewa ili nipate grants au mkopo kwa ajili ya kuendesha zoez hili?

Japo najua sana kuwa itanigarimu hapa mwanzoni.Toa ushauri ktk hili.
 
Wasiliana na Bwana mmoja anaitwa ALBERT Sanga huwa anapatikana sanakwa blog ya mjengwa. Atakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Hongera kaka kwa maamuzi mazuri anza na Afisa misitu na maliasili aliyekaribu nawe atakusaidia pa kuanzia, kila la kheri.
 
Back
Top Bottom