Kilimo cha miti ya asili

Kilimo cha miti ya asili

madigida

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Wadai hii ni mara yangu ya kwanza kuongea jamvini. Nina wazo la kuanzisha kilimo cha miti ya asili kwasababu miti ya asili inakatwa kila itwaapo leo na hakuna juhudi za kupanda mingine ku replace iliyokatwa.
Naomba ushauri wenu wa talaamu wa miti,bengu zinapatikana wapi na njisi ya kuziotesha na kuzitunza hadi kuzihamishia shambani.
 
Wasiliana na wataalamu wa mbegu au fanya reseach kichini chini kwanza maana biashara bwana???
 
Wasiliana na wataalamu wa mbegu au fanya reseach kichini chini kwanza maana biashara bwana???

Mbegu ziko nyingi, kama uko serious piga simu hizi 0784959914, au 0786059518 au 0753184890 hawa watakwambia mbegu ziko wapi na bei yake na utalaamu juu yake.
 
Back
Top Bottom