Kilimo cha miti - Mufindi

Kilimo cha miti - Mufindi

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Wana JF
Nauza shamba la kupanda miti.
Zipo hekari 100, wilaya ya Mufindi kijiji cha Ibwanzi.

Kila Hekari ni Tsh 120,000/=.
Msimu ndio huu changamkieni dili hili, ukinunua nyingi bei inapungua.

Pia nitakuuzia na miche ya miti kwa Tsh 80/= tu kwa mche.

Contact: 0687 022 411
 
Bado hujanipa sababu nzuri ya kununua kwa bei hiyo. Tutapanda magari ya kwenda mdabulo halafu mwisho wa gari kule tutanunua kwa bei ya buure.Nikitoa million 2 nitajipimia mwenyewe .
 
Bado hujanipa sababu nzuri ya kununua kwa bei hiyo. Tutapanda magari ya kwenda mdabulo halafu mwisho wa gari kule tutanunua kwa bei ya buure.Nikitoa million 2 nitajipimia mwenyewe .

Vizuri pia waonyeshe na wadau wengine wakanunue huko ununuako weye, ili uwasaidie wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom