Wakuu Tikiti limenitia hasara sana
Tatizo hii nchi viongozi wamekosa maarifa, bora hata ile kilimo kwanza, wanaimba toka uhuru kilimo ni uti wa mgongo, lakini utekelezaji zero, huyu kaja na viwanda ndiyo bure kabisa.hii sera ya viwanda itatuua ,jamaa uongozi unamshinda,tz tunanuka umaskini wa kutisha halafu unahubiri viwanda badala ya kuboresha kilimo kwa kututafutia masoko nje ya nchi ,haya manyanya tuyapeleka wapi sasa
Pôle sanaWakuu Tikiti limenitia hasara sana
Kwenye sembe mkuu watu wameelemishwa sana faida na hasara zake mwilini, jaribu kufuatilia uzwaji wa dona na sembe.hili anguko la bei na wingi wa chakula ni mdororo wa uchumi unaosababishwa na mzunguko mdogo wa fedha na ni dhahiri biashara nyingi zipo chini mauzo yamekuwa madogo ..... hebu fikiri hapa Dar mchele safi kabisa unauzwa Tsh. 1,200/- per kg sawa na bei ya unga wa sembe hii imepelekea hata unga wa sembe kutokununulika
Ni kweli kabisa, ziliwekwa picha humu wanyama wanatupiwa nyanya manake zimejaa zinaoza.-->>•TUNAHITAJI FOOD PROCESSING IND.
->>NYANYA
->>MATUNDA AINA YOTE
->vyakula kwa kwa ujumla wake!
Hawana effective strategiez zozote za kutengeneza mazingira mazuri ya soko la nje ya nchi ambalo hata mkulima mdogo anaweza kunufaika.... wamekazania kilimo ni uti wa mgongo alafu plan ni zile zile tangu enzi za ujima, yaani hawa watu bure kabisa.Tatizo hii nchi viongozi wamekosa maarifa, bora hata ile kilimo kwanza, wanaimba toka uhuru kilimo ni uti wa mgongo, lakini utekelezaji zero, huyu kaja na viwanda ndiyo bure kabisa.
Pole sana asee..Wakuu Tikiti limenitia hasara sana
***Pole sana asee..
Amia kwenye dagaa kama una capital ya kutosha soko lake liko stable halijawahi kuwa na fluctuation hata siku moja.
Mtaani kwetu somewhere in Temeke mchele bado ghali (Sh. 2000 ) lakini nilishangaa majuzi kukuta maharage safi kabisa wanauza 2,200 wakati bei yao ni 2,400 - 2,600. Wikiendi iliyopita naenda Mbagala ndipo nilijua kwamba hauna bei! Kule ni sh. 1400 na ni mzuri kuliko tunaouziwa cc sh.2000/=!! Kwa ujumla wake, mambo magumu mwaka huu kwa mkulimaHii bei ni DSM soko gani Mkuu tujuzane, mimi huku Mbezi bado nauziwa 1800 kwa Kg!
Food processing industry inahitaji consistent production of agricultural produces na sio ikifika June nyanya za kumwaga lakini baada ya wiki 3-6 zimeadimika! Zinaadimika wakati tayari umeshaingia gharama za uwekezaji-- which means uwe na malighafi au usiwe nayo gharama za uwekezaji (wear & tear) pamoja na fixed costs zingine zipo pale pale! Kama una permanent employees utaendelea kuwalipa hata kama production imeshuka n.k! Kutokana na huo ukweli ndo maana watu wanakwepa kuwekeza kwenye food processing industry kv production yetu is too seasonal!-->>•TUNAHITAJI FOOD PROCESSING IND.
->>NYANYA
->>MATUNDA AINA YOTE
->vyakula kwa kwa ujumla wake!