Kilimo cha matikiti ni anguko la wengi mwaka huu

Kilimo cha matikiti ni anguko la wengi mwaka huu

Kilio kingine tukitegemee kwenye ufugaji wa kuku, maana kila MTU anafuga hivi sasa
Ukitegemee mara ngapi wakati kuna jamaa yangu alizalisha mayai zaidi ya elfu 10 akakosa soko ilibidi ayagawe kwa wamisionari
 
HAIPASWI KULALA MIKIA BIDHAA KUSHUKA BEI CHA KULALAMA NI BIDHAA KUHARIBIKIA MASHAMBANI
 
Ni kweli utafiti makini wahitajika wengi wanafanya vitu kwa kuiga tuu..
 
JAMANI BEI YA NYAMA YA NGO'OMBE HAISHUKI TU
Nyama ya ng'ombe haijishuka sababu ufugaji wa ng'ombe ni mgumu na wanaouweza ni jamii za wafugaji kama WAMASAI ambao nao wanakomaa nao hivo hivo maana unachangamoto ya malisho kipindi cha kiangazi.
 
Mdololo wa uchumi umeadhiria kiac fulan
Maana mimi mwaka uu nimenunua ufuta sijapAta faida sokoni
Nikanunua mbaazi kwa 1000
Alafu nikakuta bei ya soko ni900
So kuna wingi zto kiac
 
Ni kweli utafiti makini wahitajika wengi wanafanya vitu kwa kuiga tuu..

Mkuu kwani kuiga kitu kizuri ni vibaya? Wakati mwingine tunaiga kwa kuwa pia mazingira tunayotokea zao hilo tuliloiga ndio linakubali zaidi. Ama unataka watu waige ujambazi maana hata wenye unalipa.
 
Dah.
Poleni sana aisee, nafikiri kilichochangia pia ni mdororo wa uchumi nchini maana hata kwenye nyanya nako ndo moja kubwa ya Tsh 15,000 inauzwa sasa kwa Tshs 700.

Ni mambo ya aibu kwa kweli.
Mkuu umekosea kuandika au ni kweli ndoo kubwa ni Sh 700?, sasa hapo fungu ni sh ngapi
 
Shida ni moja tuu iliyopo tuliyonayo wengii hatuwez kufikir yan ni wavivu tunaangalia fulan amelima matikit na mm nalima ,fulan kalima nyanya na mimi nalima,fulan kalima matango na mm nalima lazima tulie maana watu wengi wanajikuta wanalima zao moja hivyo soko linapungua maana yanakuwa mengii lazima upunguze beii tuwe wabunifu na tuwe tunafikir sana bila kuiga mtuu itatusaidia sanaa
 
Hakuna fungu sikuhizi, wanapima kwenye kopo la lita moja Mkuu na Yale ya rangi ya sadolin
Mkuu umekosea kuandika au ni kweli ndoo kubwa ni Sh 700?, sasa hapo fungu ni sh ngapi
 
Hii bei ni DSM soko gani Mkuu tujuzane, mimi huku Mbezi bado nauziwa 1800 kwa Kg!

Afadhali aseme na sisi tujuwe wapi tunaweza kusevu kwa bei hiyo.

Hata bajaji nitakodi bado itakuwa nafuu, kwetu Kijichi ni kuanzia 1,800 na kwenda mbele
 
Lima suger baby kaka f1 watu wqmeikimbilia nakusahau hyo nyingne ambapo saaasa ni adim nq uhitaj ni mkubwa
Watalima wote hiyo Suger baby! Then mwakani mmoja atakuja na bandiko kama Hili.....nilidhani mtatumia bandiko hili kushauliana namna ya kutafuta masoko nje ya nchi! Tulihamasishwa Sana hapa kuwa Kilimo cha matikiti Ni utajiri, kila mtu kalima matokeo yake soko limekua dogo! Jadilianane namna ya kuuza matikiti nje kama Madagasca, Shelisheli, Egypt na hata Rwanda ambapo uhitaji ni mkunwa!
 
ni muda sasa wa kuanza kufikiri kuhusu viwanda vya usindikaji na masoko nje ya nchi ya bidhaa zetu...
nimelima matikiti natoa mwezi huu mwishoni,ila siwazi tena kulima matikiti..nawaza kulima zao litakalokuwa adimu sokoni ili nilime...!!!
 
Back
Top Bottom