Kilimo cha Mahindi: Jinsi gani ya kucheza na misimu market wise

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu, baada ya kupata breakdown ya kilimo bora cha mahindi, steps, mbegu, mbolea, uhifadhi na kadhalika

Hatua ya pili naomba wadau mnipe timing za kucheza na misimu kwa upande wa masoko. Yaani kwamba mfano ukilima kipind hiki expect sokoni kutakuwa na hiki nakadhalika. Sisi wageni kwenye sekta hii hatufahamu haya, kwa mkali anaeweza nipa breakdown hiyo anisaidie wakuu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Uzi tayari
 
Swala sio kulima muda gani,swala ni kuuza muda gani. Anzia Sokoni kabla ya kwenda shamba. Karibu Tanganyika nzima msimu wa kulima ni kuanzia mwezi wa 11, wa 6 mavuno
 
Swala sio kulima muda gani,swala ni kuuza muda gani.
Anzia Sokoni kabla ya kwenda shamba.
Karibu Tanganyika nzima msimu wa kulima ni kuanzia mwezi wa 11, wa 6 mavuno
 
Mkuu ni vyema ukafanya research hasa target market yako, kama wadau walivyoshauri hapo juu, kama ni kwenda kwenye masoko mbalimbali maana ni obvious wale wanaochoma mahindi wananunulia huko.

Unaanza na madalali pamoja na wauzaji wa kawaida. Mungu akutangulie!!!!
 
Mkuu we lima tu kwa uhakika kisha unahifadhi mahindi huku ukiskilizia hali ya soko. Kwa kaskazini huu ndio msimu wa kilimo unakaribia.

Unaanza na madalali pamoja na wauzaji wa kawaida. Mungu akutangulie!!!!
 
Swala sio kulima muda gani,swala ni kuuza muda gani.
Anzia Sokoni kabla ya kwenda shamba.
Karibu Tanganyika nzima msimu wa kulima ni kuanzia mwezi wa 11, wa 6 mavuno
Hapo umenena. Kinacho tuponza ni kutokuwa wavumilivu kuhifadhi mazao tukisubiri bei. Msimu huu nimelima heka 60 za mahindi 50 za alzeti 13 karanga ila sitauza mpaka bei ieleweke

God save us
 
Hapo umenena. Kinacho tuponza ni kutokuwa wavumilivu kuhifadhi mazao tukisubiri bei. Msimu huu nimelima heka 60 za mahindi 50 za alzeti 13 karanga ila sitauza mpaka bei ieleweke

God save us
Hongera mkuu, lakini nasikia uwezekano wa bei kupanda sana ni mdogo kwa kuwa kuna uwezekano wa wakulima wengi kupata mazao ya kutosha kwa sababu ya mvua kuwa nyingi.
 
Wakuu, baada ya kupata breakdown ya kilimo bora cha mahindi, steps, mbegu, mbolea, uhifadhi na kadhalika

Hatua ya pili naomba wadau mnipe timing za kucheza na misimu kwa upande wa masoko. Yaani kwamba mfano ukilima kipind hiki expect sokoni kutakuwa na hiki nakadhalika. Sisi wageni kwenye sekta hii hatufahamu haya, kwa mkali anaeweza nipa breakdown hiyo anisaidie wakuu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Uzi tayari
Mahindi gani? Mabichi au makavu,mara nyingi mahindi makavu hayana msimu rasmi nakumbuka January ikifika 120,februari,yakaanza kudrop, cha kuzingatia ni uhifadhi Mara nyingi mahindi yanapanda Mwezi januri na Mwezi may, Kama Ni kilimo cha Mabichi unatakiwa kulima kipindi ambacho Sio msimu wakilimo. Aksante
 
Back
Top Bottom