Kilimo cha alizeti, Iramba-Singida

earl

Senior Member
Aug 30, 2012
139
182
Habari za mchana,

Poleni na majukumu. Kama maada inayojieleza hapo juu, nilitaka nifahamu kuhusu kilimo cha alizeti wilayani Iramba. Nimepitia maada mbalimbali humu ndani na nimeona kuna mwana JF alifanya marejesho ya juu ya kilimo cha alizeti, lakini ni karibu miaka mitatu iliyopita (tarehe 21 Juni 2014).

Kwa ambaye ana ana uelewa wa kilimo hiki naomba kufahamu kuhusiana na mahitaji wakati wa kupanda na kukuzia hususani kwa upande wa mbolea, n.k. Pia ningependa nifahamu kuhusu mbegu bora.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom