Kilimo biashara ndio habari za mjini

Kilimo biashara ndio habari za mjini

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
552
Reaction score
1,306
Vijana wanakimbilia series, Instagram, movies na pamba huku wakitupa mbao!

Kilimo biashara ndio habari za mjini. View attachment 1918482
IMG_20210831_153055.jpg
IMG_20210831_152735.jpg
 
HUKU NDIO BURUNDI ALIPOSEMA TUHAMIE MUHESHIMIWA YULE?
 
Mkuu naona ni mwendo wa drop irrigation!
 
Mkuu naona ni mwendo wa drop irrigation!
Hapana hapo kina maji ya bureeee Tena huhitaji hata pampu kumwagilia.Nenda maeneo Kama MBORI,TAMBI,LUMUMA ukajionee kwanza unaweza walaumu wenyeji ukaona Ni wavivu Mkuu
 
Hapana hapo kina maji ya bureeee Tena huhitaji hata pampu kumwagilia.Nenda maeneo Kama MBORI,TAMBI,LUMUMA ukajionee kwanza unaweza walaumu wenyeji ukaona Ni wavivu Mkuu
Hayo maeneo yapo mkoa gani?
 
Back
Top Bottom