Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 – Kitimtim Mlimani City leo

boss wote hao ni wasanii wa tht. Wakubwa walishawapanga na ndo maana hata jukwaani wanaenda wote kuchukua tuzo.
kama ni kwa kupangana sawa ila ukweli recho bado na kwakupa tuzo hii wanamdumaza kifikra pasi yy kujua. Sion mantiki ya kusema eti kwasababu ni tht basi wapokezane utafikiri wanakimbia relay??
 
mmh! Hapo kazi ipo kwakweli,
hebu niambie hivi wema anatoka na omy dimpoz?

Boss WS anachukua Mwanaume yeyote anayemtaka hapa Mujini. Diamond mwenyewe kapewa pesa ndefu sana amchezee Wema Movie. Na its a matter of time dogo atarudi tu.

Kuna Mutuz hapan town wana mkwanja mrefu sana, so binti anapewa kila atakacho na hiyo Mutuz haitaki hata kujulikana.

So, sasa hivi Dimpoz ni second to Diamond na mpango wa Madamu WS ni kuremain on top of news all the time.

Madamu Wema ni habari kubwa ya Mujini.
 
boss ws anachukua mwanaume yeyote anayemtaka hapa mujini. Diamond mwenyewe kapewa pesa ndefu sana amchezee wema movie. Na its a matter of time dogo atarudi tu.

Kuna mutuz hapan town wana mkwanja mrefu sana, so binti anapewa kila atakacho na hiyo mutuz haitaki hata kujulikana.

So, sasa hivi dimpoz ni second to diamond na mpango wa madamu ws ni kuremain on top of news all the time.

Madamu wema ni habari kubwa ya mujini.

mambo ya mujin bana wanayaweza wa mujin sie wa shamba ngoja tulime kisamvu bana.
Ila ws kajiharibu sana, kwanza alivyotokelezea leo utafikir kazaa watoto saba kama mm lolz! Kachusha hadi nikasema anawaza nini?? Muwigi wa kizee, sura imekuwa na makunyanzi kama vile anapuliza moto uzuri wake wote umepotea jamaniiiiiiiiiii............
Sikufichi Superman nilikuwa nampenda sna ahuyu dada ila siku hizi ananiudhi sana na mambo yake, amejiharibu rangi, akapenda kuwa fake kutoka skin texture mpaka dressings, mbaya zaid sijui ni gym ama ni dawa anakonda uso tu arrrrrrrghhhhhhhhhh!!!!!!!!! Ukweli nitamwambia ona alivyojifanya hapo jukwaani yaani ni kama vile aliomba amtangaze huyu omy kuwa mshindi manake wameanza kwa kubusiana kisha wakatoka wameshikana viuno kama wako beach........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom