Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 – Kitimtim Mlimani City leo

duu job true true.. leteni basi hata hizo awards kwa washindi kimajina kidogo itavutia..
 
jamani hivi Wema Sepetu anatoka na Omy Dimpoz?? Mbona Omy amesema ni shemeji??
 
n hawa jambo squad kuilamba tuzo ndo nini??
yaani wameniti kinyaa sana
 
Nimegumdua wanamuziki wetu wa kibongo bila insrumental wanaimba vby sana yaani sauti sijui zikoje kwakweli.
Na huyu anyeimba wimbo wa ray c sijui katokea wapi na vazi lake kama mwl wa shule ya kata.
 
maadam wewe endelea kutupa update za kikwetukwetu!
mkuuu umemuona huyu mzee wa bendi nani huyu aliayeuguaga hadi ikasemekeana anangoma na jeneza wakamchongea anaimba wimbo wa tid yaani kauimba vby hadi hasira wimbo wa zeze

sasa hapa zahir zorro anaimba kikulacho yani wamewachagulia nyimbi ambazo haziendani nao kabisa,,,,,,,,,,,,,,,sijui ni nini hiki
 
Pamoja sana Mkuu!

Naona Charles Baba kachukua tuzo 3 mpaka sasa. Na rapa wake naye kapata tuzo moja,
 
pamoja sana mkuu!

Naona charles baba kachukua tuzo 3 mpaka sasa. Na rapa wake naye kapata tuzo moja,

si unaona tena mashujaa band imekuwa band bora ya mwaka?? Najiuliza hivi kwanza nani ana mkono kwenye hii band??
 
Superman utaona hapa kwenye wimbo bora wa zouk........sijui kwann recho kapewa tuzo bora ya msanii bora wa kaike wa mwaka. Hivi kweli mwasiti hakustahili??
 
Last edited by a moderator:
Superman utaona hapa kwenye wimbo bora wa zouk........sijui kwann recho kapewa tuzo bora ya msanii bora wa kaike wa mwaka. Hivi kweli mwasiti hakustahili??

Boss wote hao ni wasanii wa THT. Wakubwa walishawapanga na ndo maana hata jukwaani wanaenda wote kuchukua tuzo.
 
Back
Top Bottom