Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

Halafu huo mteremko una Kaburi hapo mwanzoni kabisa kama vile ni "alama ya kukukumbusha Kifo" unapoingia eneo hilo ukitokea Moshi mjini. Hao Polisi walisahau??
Hapo miaka hiyo walikufa watalii wa Kijapan wakiwa na gari ya kitalii enzi hizo 'volkswagen combi" ndio kuna hiyo alama kama kumbukumbu. Kama sikosei walikuwa wajapan takribani 6 hivi.
 
Na ukiambiwa useme polisi wamekukosea Nini huna majibu, bali utajibu tu Yale unayosikiaga mtandaoni.
Kuna mwaka nivamiwa na majambazi wakanipora asubuhi nikaenda na bosi wangu kituo Cha polisi chumbageni hapo Tanga kuripoti yule askari aliekuwa kaunta baada ya maelezo akanipiga Kofi akimaanisha nimwonyeshe walipo wale majambazi maana nimeshirikiana
Na hapo nilikuwa nimenusurika kifo
Bahati nzuri wale majambazi walikuja kupatikana na Mali ikapatikana na sihuusika katika ule wizi lakini askari alishanisingizia kuwa nahusika
 
Hivi hizi Harrier,Kluger na Probox za jeshi la polisi huwa zinanunuliwa zero kilometers au ni wanazotaifisha zikikamatwa.

Kuna siku nimetangulizana na moja ya RTO hakuna cha vibao wala zebra ni kibati tu.
 
Wabarikini wanaowaudhi,barikini wala msilaani,Warumi 12:14...
 
Hapo miaka hiyo walikufa watalii wa Kijapan wakiwa na gari ya kitalii enzi hizo 'volkswagen combi" ndio kuna hiyo alama kama kumbukumbu. Kama sikosei walikuwa wajapan takribani 6 hivi.
Dah Jamani naonaga sana Hilo kaburi hapo nilikuwa sijui la nani haswa,.
Dah Japanese
 
Back
Top Bottom