Duuh... Wewe jamaa, hivi upo nchi gani...??!! Hii Jf naona ni nchi nyingine kabisa.Raia wangapi wanaenda vituoni kuomba msaada na wanapuuzwa kwa kuwa hawana chochote? Au tu kwa kuwa wanayemlalamikia ana uwezo na nafasi na hivyo huishia kupuuzwa? Hivi kwa polisi hawa mtu asiye na chochote wataka kunambia wanaweza kumsaidia?
Hao polisi waliopata ajali ni polisi wanafunzi, wananchi waliokuwa eneo la tukio wametoa msaada vizuri na kwa ushirikiano....Duuh... Wewe jamaa, hivi upo nchi gani...??!! Hii Jf naona ni nchi nyingine kabisa.
Kama hawajafa wote hiyo ajali ji fekiGari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai, baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Roho inaniuma sananfuso ya watu imeharibikaWamalizieni kama kuna wanao pumua kwa mbali, kimbizeni hao wa fuso hospital.
Sasa mkuu wa kituo OCS ndiye yule kamchoma sindano ya sumu yule jamaa wa madini kule Mtwara unasemaje hapo?Kweli Polisi hawakumtendea Haki. Lakini huyo polisi aliyemfukuza hapo kaunta inawezekana sio mkuu wa Kituo
Sasa mkuu wa kituo OCS ndiye yule kamchoma sindano ya sumu yule jamaa wa madini kule Mtwara unasemaje hapo?
