Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,448
- 18,512
Mnunulie banaSawa mkuu ila jitahidi upate simu yenye camera nzuri.
Mnunulie banaSawa mkuu ila jitahidi upate simu yenye camera nzuri.
Unaweza kumbuka ni mwaka Gani MkuuHapo miaka hiyo walikufa watalii wa Kijapan wakiwa na gari ya kitalii enzi hizo 'volkswagen combi" ndio kuna hiyo alama kama kumbukumbu. Kama sikosei walikuwa wajapan takribani 6 hivi.
Kama kumbu kumbu zangu zipo vizuri maana uzee ushaingia sasa ilikuwa ni miaka ya 80 ilikuwa stori kubwa sana by then. Wakati huo gari maarufu za kubebea watalii zilikuwa "volkswagen comb, volkswagen transpoter na Landrover mandolin 109".Dah Jamani naonaga sana Hilo kaburi hapo nilikuwa sijui la nani haswa,.
Dah Japanese
Ukweli mchungu.Kiufupi ni wahalifu wenye Vibali vya kubeba bunduki na kukamata watuHaimanishi kwamba nawaamini polisi. hao ni watu wahalifu waliovishwa sare na bendera kwenye mikanda yao
polisi ni VIBAKA
Dah Zaidi ya Miaka 40 Sasa ,itakuwa walikuwa wanatoka KIA au walikuwa wanaenda KIAKama kumbu kumbu zangu zipo vizuri maana uzee ushaingia sasa ilikuwa ni miaka ya 80 ilikuwa stori kubwa sana by then. Wakati huo gari maarufu za kubebea watalii zilikuwa "volkswagen comb, volkswagen transpoter na Landrover mandolin 109".
Hahahhaha iyo itakuwa hatari kwa taifaUnaweza shangaa unakwenda kutoa taarifa na wewe unakamatwa kwa kosa la kushiriki kutazama ajali na unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Wametangulia wangapiGari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai, baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Hayo sio majibu ya watanzania, wewe utakuwa wa nchi nyingine.habari njema hii
Pole mkuu, hizo ni mbinu wanatumia kukamata waharifu kwa sababu baadhi ya waajiriwa hushirikiana na majambazi kuiba Mali za mabosi wao.Kuna mwaka nivamiwa na majambazi wakanipora asubuhi nikaenda na bosi wangu kituo Cha polisi chumbageni hapo Tanga kuripoti yule askari aliekuwa kaunta baada ya maelezo akanipiga Kofi akimaanisha nimwonyeshe walipo wale majambazi maana nimeshirikiana
Na hapo nilikuwa nimenusurika kifo
Bahati nzuri wale majambazi walikuja kupatikana na Mali ikapatikana na sihuusika katika ule wizi lakini askari alishanisingizia kuwa nahusika
Raia wangapi wanaenda vituoni kuomba msaada na wanapuuzwa kwa kuwa hawana chochote? Au tu kwa kuwa wanayemlalamikia ana uwezo na nafasi na hivyo huishia kupuuzwa? Hivi kwa polisi hawa mtu asiye na chochote wataka kunambia wanaweza kumsaidia?Wapo Raia wengi tuu. Huwezi kuwaorodhesha hapa. Lakini kwa mfano tu, ni pale Raia wa kawaida anapoenda kituoni kuomba msaada. Kama wangekuwa wabaya kivile hakuna Raia angekwenda kwao na Raia tungeishi kama wanyama porini i.e. mwenye nguvu mpishe. Survival of the Fittest (Rule of the jungle).
Ndio. Wapo Baadhi ya Polisi (sio wote) wanaostahili kubebeshwa hilo⤴️ lakini sio wote.
Kuna siku nimeshuhudia raia kafukuzwa kama mbwa na matusi pale kaunta kupeleka malalamiko ya kudhulumiwa 10,000 askari anamwambia kabisa " yaani wewe usumbue watu kwa hela hiyo,toka hapa pumbavu,tulifikiri kuna hela ya maana,usumbue watu kwa hela hiyo,potea haraka sana kabla hatujakuwela lockup"Wapo Raia wengi tuu. Huwezi kuwaorodhesha hapa. Lakini kwa mfano tu, ni pale Raia wa kawaida anapoenda kituoni kuomba msaada. Kama wangekuwa wabaya kivile hakuna Raia angekwenda kwao na Raia tungeishi kama wanyama porini i.e. mwenye nguvu mpishe. Survival of the Fittest (Rule of the jungle).
Ndio. Wapo Baadhi ya Polisi (sio wote) wanaostahili kubebeshwa hilo⤴️ lakini sio wote.
Polisi sikuizi ndo magaidi!!🎃 wafe tuKuna mwaka nivamiwa na majambazi wakanipora asubuhi nikaenda na bosi wangu kituo Cha polisi chumbageni hapo Tanga kuripoti yule askari aliekuwa kaunta baada ya maelezo akanipiga Kofi akimaanisha nimwonyeshe walipo wale majambazi maana nimeshirikiana
Na hapo nilikuwa nimenusurika kifo
Bahati nzuri wale majambazi walikuja kupatikana na Mali ikapatikana na sihuusika katika ule wizi lakini askari alishanisingizia kuwa nahusika
Kweli Polisi hawakumtendea Haki. Lakini huyo polisi aliyemfukuza hapo kaunta inawezekana sio mkuu wa KituoKuna siku nimeshuhudia raia kafukuzwa kama mbwa na matusi pale kaunta kupeleka malalamiko ya kudhulumiwa 10,000 askari anamwambia kabisa " yaani wewe usumbue watu kwa hela hiyo,toka hapa pumbavu,tulifikiri kuna hela ya maana,usumbue watu kwa hela hiyo,potea haraka sana kabla hatujakuwela lockup"
Sasa huyo ndio mwananchi wa kawaisa,unasemaje hapo?
AsanteeeeeeGari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai, baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Wamekufa wote?Gari ya polisi imepata ajali mbaya hapa kwenye mteremko wa kwa sadala wllayani Hai, baada ya kuvaana uso kwa uso na FUSO
Kama Polisi mhusika atazingatia Taratibu, Maadili na Weledi katika majukumu yake tena akiwa na hofu ya Mungu atamsaidia.Raia wangapi wanaenda vituoni kuomba msaada na wanapuuzwa kwa kuwa hawana chochote? Au tu kwa kuwa wanayemlalamikia ana uwezo na nafasi na hivyo huishia kupuuzwa? Hivi kwa polisi hawa mtu asiye na chochote wataka kunambia wanaweza kumsaidia?