Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

Dah! Umekasirika kwel-kweli. Pole aisee. Ukitulia utagundua kwamba sio Polisi wote ni wabaya kama ulivyowaita "Mashetani hao".
Wapo Polisi wengi ambao ni watu wema tuu, ila na sisi Raia pia tunasahau kwamba Polisi wanapaswa kutii na kuzingatia Maelekezo au Amri ya Kiongozi/Mkubwa wao.

Kama ni hivyo hiyo kazi haifai,uambiwe ua na nawe kwa kuwa ni amri uuwe tuu?
 
Poleni sana walinda amani namba Moja na wazalendo mliotukuka ambao mnapinga matendo yote maovu.
 
Hivi unafikiri kuna Raia wa kawaida ambaye hajawahi kukosewa na hao manyang'au?
Wapo Raia wengi tuu. Huwezi kuwaorodhesha hapa. Lakini kwa mfano tu, ni pale Raia wa kawaida anapoenda kituoni kuomba msaada. Kama wangekuwa wabaya kivile hakuna Raia angekwenda kwao na Raia tungeishi kama wanyama porini i.e. mwenye nguvu mpishe. Survival of the Fittest (Rule of the jungle).
Waporaji na madhulumati wa haki za watu?
Ndio. Wapo Baadhi ya Polisi (sio wote) wanaostahili kubebeshwa hilo⤴️ lakini sio wote.
 
Kama ni hivyo hiyo kazi haifai,uambiwe ua na nawe kwa kuwa ni amri uuwe tuu?
Hapana. Lazima iwe Amri halali na katika Mazingira Stahiki. Kumbuka Polisi haruhusiwi kuua mtu mhalifu bali ni matumizi ya nguvu inapobidi ili kumdhibiti Mhalifu asiendelee kufanya Uhalifu au anayevunja Sheria kwa makusudi na Anakataa kutii bila Shuruti kuwekwa chini ya Ulinzi (Kukamatwa) na atatishia Usalama wa Polisi mhusika katika zoezi la Ukamataji.
 
Huo mlima hapo wao huwa hawataki kabisa gari ziovatake na ukiangalai picha ya hiyo fuso ni wazi wao walikuwa wameovateki na sifa ya fuso kukosa brake za hapo kwa papo inajulikana.

Usalama barabarani ni jukumu la watumiaji wote wa barabara na si wengine waonekane wao taratibu haziwaruhusu, wao wako radhi kukuweka ndani kwa kufanya wrong overtake.
 
Eeh baba naomba wasitoke hata 1!
20250731_175120.jpg
 
Huo mlima hapo wao huwa hawataki kabisa gari ziovatake na ukiangalai picha ya hiyo fuso ni wazi wao walikuwa wameovateki na sifa ya fuso kukosa brake za hapo kwa papo inajulikana.

Usalama barabarani ni jukumu la watumiaji wote wa barabara na si wengine waonekane wao taratibu haziwaruhusu, wao wako radhi kukuweka ndani kwa kufanya wrong overtake.
Hapo sawa. Nature imetenda Haki na ni Haki Sawa kwa wote. Usifanye kosa la barabarani ....kufanya wrong overtake.
 
Back
Top Bottom