Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

Kilimanjaro: Polisi wapata ajali

Panya Road ni nani?
Kuna tofauti gani kati ya panya Road aliyevaa yebo kule Tandika na yule jambazi wa mali za umma pale lumumba?
Sasa we unashauri tuishi bila ya polisi waadilifu?
Unadhani mtaani kutakuaje au unadhani hivi ilivyo ipo tu,kwamba wahalifu wameamua kutulia?
 
Wafe tena ikiwezekana wote
Mashetani haoo
Dah! Umekasirika kwel-kweli. Pole aisee. Ukitulia utagundua kwamba sio Polisi wote ni wabaya kama ulivyowaita "Mashetani hao".
Wapo Polisi wengi ambao ni watu wema tuu, ila na sisi Raia pia tunasahau kwamba Polisi wanapaswa kutii na kuzingatia Maelekezo au Amri ya Kiongozi/Mkubwa wao.
 
Hivi unafikiri kuna Raia wa kawaida ambaye hajawahi kukosewa na hao manyang'au? Waporaji na madhulumati wa haki za watu?
 
Dah! Umekasirika kwel-kweli. Pole aisee. Ukitulia utagundua kwamba sio Polisi wote ni wabaya kama ulivyowaita "Mashetani hao".
Wapo Polisi wengi ambao ni watu wema tuu, ila na sisi Raia pia tunasahau kwamba Polisi wanapaswa kutii na kuzingatia Maelekezo au Amri ya Kiongozi/Mkubwa wao.
Sasa kazi haifai basi kama unatii maagizo hata haramu!
 
Back
Top Bottom