AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
mkuu hapo kwenye red umeonyesha una hasira na chuki mbaya sana inayokuondoa kwenye mtanzania halisi. pia umesahau kuwa kuna wasukuma pia wanaooza meno, watu wa singida pia wanaoza meno, maeneo mengi tu watu wanaoza meno kutokana na maji wanayokunywa. mimi nimchaga lakini sijaoza meno kwasababu utotoni sijakulia uchagani. majambazi si wachaga tu, wanywa pombe si wachaga tu, watenda dhambi si wachaga tu.Nyie wanywa mbege moja ya mila zenu ni kuoa dada zenu!
Na mkilewa hata shangazi yako unapitia tu!
Kwa hivyo wewe kutukana kila mara ni km kunywa chai tu!
Narudia tena kukwambia BILA CCM Nyie meno meusi mpaka leo mngekuwa mnaishi kwenye Nyumba za Matope na Mapaa ya majani.
Hamna Shukrani. Ndo maana mkaumbwa na Sura mbovu kama roho zenu.
Sisi wakazi wa mijini tunaomba Mungu Christmas ifike ili Majambazi wote waende vijiji kwao kula Christmas za mbege!
Na tukiwatia mikononi hio mijizi lzm wahare Mtori!
however, siafiki hoja ya mtoam ada kuifanya kilimanjaro ni ya watu wa kilimanjaro tu, ile ni ya watz wote. mada kama hizi ndizo zinazofanya watu wawachukie wachaga nchi nzima, na hili linajidhihirisha na mtu kama wewe uliyepost kitu kama hiki. punguza hasira. life is too short ndugu.