Kilimanjaro: Nowhere to compare with

Kilimanjaro: Nowhere to compare with

Huo ni ulinganifu kati ya Kilimanjaro na Dodoma au na mikoa mingine? Sijaelewa
 
tangu Mzee wa Upako awapake imekua ni shida...
Ila nawapongeza kwa kujinyakulia magari.
 
ni ngumu kwa mkoa wowote kuipita Moshi kwa jiografia yao halafu kuna tofauti kubwa ya wakazi wa Moshi na mikoa mingine ktk perception ya maendeleo niko huku Longoi ni mashambani lakini mwamko ni mkubwa sana

Kwa perception ya Maendeleo,wachaga/wakazi wa kilimanajaro wako juu na huu ni ukweli,kumbuka mimi sio mchaga.
Kwa mikoa 10 niliyoishi hao watu wako tofauti sana.Tuwe wakweli mikoa maskini sana ni ile ambayo waarabu waliikalia na kunauwezekano mkubwa wakazi wake ndio wapinzani wa maendeleo ya mkoa wa kilimanajro.

Wakati wewe unafunga mtaa na kukesha ngoman sijui vigodoron hata kama ni jumatatu wenzio wanakibizana na shule au biashara au kazi.Endeleen ....wakati mwingine dunia inakuwa tamu kwa kuwepo wajinga wajinga kama wewe.Sijui kama hata jamii forum wanaijua
 
Piga, ua, maudhui ya mleta uzi yanaonesha lazima atakuwa ni mchaga na ni chagadema.
 
Kwa perception ya Maendeleo,wachaga/wakazi wa kilimanajaro wako juu na huu ni ukweli,kumbuka mimi sio mchaga.
Kwa mikoa 10 niliyoishi hao watu wako tofauti sana.Tuwe wakweli mikoa maskini sana ni ile ambayo waarabu waliikalia na kunauwezekano mkubwa wakazi wake ndio wapinzani wa maendeleo ya mkoa wa kilimanajro.

Wakati wewe unafunga mtaa na kukesha ngoman sijui vigodoron hata kama ni jumatatu wenzio wanakibizana na shule au biashara au kazi.Endeleen ....wakati mwingine dunia inakuwa tamu kwa kuwepo wajinga wajinga kama wewe.Sijui kama hata jamii forum wanaijua

Mim mchaga wa bomang'ombe ni ukweli usiopingika mji wa moshi haukuwi umedumaa miaka ya hiv karibuni ukilinganisha na hadhi yake unayopewa huo ndo ukweli
 
Pamoja na udhaifu mdogomdogo mlionao,wachaga ni mfano wa kuigwa kwa mazuri:elimu,umoja,bidii na maendeleo.
 
Hadi leo Wachagga ni wasomi kama siyo namba moja basi ndani ya tatu bora wamo, lakini je mji wao wa Moshi ndiyo mji mkubwa na wa Kibiashara kuliko yote Tanzanai? Jibu ni hapana, maana yake hapo ni kwamba jambo hilo halina uhusiano na usomi wa kabila!

conclusion yako ni kiboko! ni ya kwanza na ya aina yake duniani kwani inatenganisha uhusiano ulipo kati ya elimu na maendeleo!! incredible.umewahi kufikiri mji wa moshi ungekuwaje kama nyumba zile nzuri zilizo jengwa katika wilaya zao saba zingejengwa moshi mjini? tofauti ya mji wa moshi na mikoa mingine ni kwamba hata wilaya zao ziko vizuri hasa katika ubora wa nyumba zilizo jengwa na standard ya maisha iko juu
 
Hebu msomeni huyu mgalatia hapa.Anasema wapika mbege na wanywa visusio (damu iliochanganywa na kinyesi kidogo) kina 2013 na vinyesi .com eti WAMEBARIKIWA NA MUNGU.sasa kwa mgalatia wa kichaga kwake yeye hata MANGI pia ni mungu!Halafu anawalaumu CCM! Sasa ccm ndio inasababisha majambazi wengi kutoka maeneo hayo?Hebu fikiri kidogo we meku!Ebo!
Acha kupigia debe makampuni ya kitalii ya kiarabu: biashara zenu zenyewe za ki-shirki, nani hawajui. Pata picha kwa sasa kule arabuni uji wa ngama na wasunna,mainzi mnavyonyweka kule sasa hivi? kilimanjaro, ngamia hawezi stahimili baridi ya huku. hivyo huwezi kupata mkojo wake ukanywa.huku utakunywa maji ya mlima mrefu afrika.Em nikuulize mbege ni mbaya kuliko ile gongo ya peponi?
 
Mim mchaga wa bomang'ombe ni ukweli usiopingika mji wa moshi haukuwi umedumaa miaka ya hiv karibuni ukilinganisha na hadhi yake unayopewa huo ndo ukweli

Unavyosema umedumaa unamaanisha nin? kwamba haundelei? na umeulinganisha na Moshi ya mwaka gani ? mimi sio mchaga ila Moshi kila mwaka lazima nifike na huwa naona mabadiliko kila navyokwenda pia nakushaur jarib kuwa unanenda mikoa mingine then unarud unacompare na hiyo mikoa uliyoenda ndo utajua mji unakua au unadumaa. am out
 
Mkuu kwanza Kilimanjaro Sio COUNTRY.

Pili sio uongo kuwa Uongozi karibu WOTE wa CHADEMA ni wa DINI MOJA na DHEHEBU MOJA.
Hilo halina mjadala.

Mapadri na wachungaji kuwaona humo ni vitu vya kawaida KABISA.
Na MASHEHE mara chache mno kuhusishwa na CHADEMA.
Lbd itokee tu bahati mbaya.

Tunafahamu kuwa Moshi ni Mji mdogo lkn takwimu zinavyoonyesha ni kuwa Moshi juu wa Udogo wake bado ni TEGEMEZI ktk vitu vingi tu.

Na hizo brbr za lami HAZIKUJENGWA NA WACHAGA bali zimejengwa kwa namna moja au nyingine NA SERIKALI HIO HIO YA CCM!
Kwa hivyo NYIE kuikashifu CCM ni kukosa kuonyesha Shukrani kuliko wazi kabisa.

Na mwisho nina swali hapa.
Eti kwa nini ikifika wakati wa Christmas ujambazi unapungua sana mijini? au hilo naliona mimi tu?

Asante kweli palle.

nyie pigeni fitina tu,sisi tuna bang tu!...ukimaliza kakojoe ulale
 
Hivi hapa mnazungumzia Kilimanjaro ya Uchagani tu au Kilimanjaro mkoa ukijumuisha na Makanya, Hedaru?, ila sidhani pamoja na maendeleo ya Barbara, umeme,n.k inaendana na kipato cha mtu mmoja mmoja.

Mwisho, mwandishi amelinganisha zaidi ya Kilimanjaro na Dodoma, pia angeenda zaidi akariganisha wilaya na wilaya, mfano: Hai na Njombe, Moshi vijijini na Mbinga, ama Moshi Manispaa na Nyamagana, badala ya kuingia kwenye mjadara ambao naona kabisa Kilimanjaro ya enzi za akina Nyerere IPO vilele vilele ukilinganisha na Mtwara ya akina Murji na Mwanza ya akina Diallo.
Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.

Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..

Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.

Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..

Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.

Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.

Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.

Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.

Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..

Kilimanjaro is a Blessed Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!i

Ardhi ya Kilimanjaro imebarikiwa na Mungu. Pamaja na serikali ya CCM kutukandamiza ila bado tumesimama kidete haki ya nani mapovu yatazidi kuwatoka na Kilimanajaro itabaki kuwa juu, ardhi ya watu wenye akili na macho matatu. Haters will still hate

wrong notion! kama wachagga wamejenga shule nyingi kuliko Dar, au mikoa mingine tegemea kwamba muda siyo mrefu ndio watakao kuwa wengi kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa Nchini na hatimae ndio watakao jaa kwenye soko la ajira na pengine ndio watakao miliki biashara kubwakubwa Nchini.unacho sema wewe ni sawa na mtoto mwenye ndugu wengi waliofanikiwa kimaisha ili hali yeye ni masikini kimaisha halafu ajisikie fahari mafanikio ya ndugu zake wakati yeye anaishi maisha ya kimasikini kabisa!! sasa kama wewe siyo mchagga utajisikiaje fahari na kilimanjaro iliyo fanikiwa wakati kwenu sijui wapi huko watu hata vyoo hawana? wakati huko kwenu maji ya bomba hakuna kabisaa! huko kwenu kuna shule ya sekondari moja au mbili tu? watoto hawapelekwi shule na wanaona fahari kuolewa at 15? kimsingi something must be done katika mikoa mingine ili watu wapende kusoma kikweli na hatimae wapeleke maendeleo huko watokako
 
Last edited by a moderator:
Unavyosema umedumaa unamaanisha nin? kwamba haundelei? na umeulinganisha na Moshi ya mwaka gani ? mimi sio mchaga ila Moshi kila mwaka lazima nifike na huwa naona mabadiliko kila navyokwenda pia nakushaur jarib kuwa unanenda mikoa mingine then unarud unacompare na hiyo mikoa uliyoenda ndo utajua mji unakua au unadumaa. am out
Yaan hata kama unaendelea toafaut ni ndogo mno mkuu mfano ongezeko la nyumba za kisasa , huwez linganisha na mji mdogo kama boma na hii inachingiwa na tamaduni za wachaga za kupadisha thaman ya ardh kupindukia . Mfano ukiwa una milion 5 moshi huwez kupata kiwanja lakin sehem kama boma utapata kiwanja kikubwa na kizur hii imeifanya mji wa boma kukua kwa kasi na watumishi wengi kutoka kcm . Ushirika na mabenk wamejenga boma na kuekeza huko mda si mrefu moshi huenda ikapitwa na bomang'ombe ukwel ndo huo mi ni mcgaga natokea huko moshi unayosema inabadilika kila siku
 
Sasa we kudumaa unatumia kigezo gani hebu nitajie indicators za development mji lazima upanuke sehemu nyingine ulitaka wote wakajenge Moshi mjini hata boma bado.hamna nyumba nyingj na nzuri kama za vijijini na ndo mana ikifika usiku watu wanarudi vijijini na mjini kunakua kwa hyo watu kubanana mjini ndo kupanuka au?
 
si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?

wapi nimetaja wachagga katika bandiko langu hapo juu?
Kilimanjaro hawaishi wachagga peke yake.
 
Kuna haja ya kuja na takwimu za kimaendeleo na hali ya kimaisha na kiuchumi za kila mkoa maana naona hapa kuna majigambo na tambo zisizo na mashiko hata kidogo!
 
Sasa we kudumaa unatumia kigezo gani hebu nitajie indicators za development mji lazima upanuke sehemu nyingine ulitaka wote wakajenge Moshi mjini hata boma bado.hamna nyumba nyingj na nzuri kama za vijijini na ndo mana ikifika usiku watu wanarudi vijijini na mjini kunakua kwa hyo watu kubanana mjini ndo kupanuka au?

Wao wanafikiria kukua Ni magorofa ,kukua kwa mji Kuna indicator nyingi ikiwemo upatikanaji WA uduma za kijamii kwa watu wengi kama barabara,maji,shule hospital etcPia ukusanyaji WA kodi,pato la wakazi wake kwani kwa kupitia utalii na shule,hospital etc wakazi wake wanachangia pato kubwa la taifa baada ya Dar na Arusha.
 
Mkuu kwanza Kilimanjaro Sio COUNTRY.

Pili sio uongo kuwa Uongozi karibu WOTE wa CHADEMA ni wa DINI MOJA na DHEHEBU MOJA.
Hilo halina mjadala.

Mapadri na wachungaji kuwaona humo ni vitu vya kawaida KABISA.
Na MASHEHE mara chache mno kuhusishwa na CHADEMA.
Lbd itokee tu bahati mbaya.

Tunafahamu kuwa Moshi ni Mji mdogo lkn takwimu zinavyoonyesha ni kuwa Moshi juu wa Udogo wake bado ni TEGEMEZI ktk vitu vingi tu.

Na hizo brbr za lami HAZIKUJENGWA NA WACHAGA bali zimejengwa kwa namna moja au nyingine NA SERIKALI HIO HIO YA CCM!
Kwa hivyo NYIE kuikashifu CCM ni kukosa kuonyesha Shukrani kuliko wazi kabisa.

Na mwisho nina swali hapa.
Eti kwa nini ikifika wakati wa Christmas ujambazi unapungua sana mijini? au hilo naliona mimi tu?

Asante kweli palle.

Ww nafikiria siyo mzima kwnye kila wazo unalotaka kuandka na kufikiria kwanz umeegemea kuipandisha sisiem kuwa ndio waliopeleka maendeleo klm( enzi za nyerere) siyo za Baba riz Pili kuhusu ujambazi pind cha x mas nadhan ww pa1 na ndugu zako mafisadi sisiem mnakuwa mko likizo maofisin na pia mbn uhalif unapungua pindi cha mfung wa ramadhani? Jiongeze F*****ck >
 
Back
Top Bottom