G bznes
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 1,429
- 2,966
Yaan hata kama unaendelea toafaut ni ndogo mno mkuu mfano ongezeko la nyumba za kisasa , huwez linganisha na mji mdogo kama boma na hii inachingiwa na tamaduni za wachaga za kupadisha thaman ya ardh kupindukia . Mfano ukiwa una milion 5 moshi huwez kupata kiwanja lakin sehem kama boma utapata kiwanja kikubwa na kizur hii imeifanya mji wa boma kukua kwa kasi na watumishi wengi kutoka kcm . Ushirika na mabenk wamejenga boma na kuekeza huko mda si mrefu moshi huenda ikapitwa na bomang'ombe ukwel ndo huo mi ni mcgaga natokea huko moshi unayosema inabadilika kila siku
We nadhan siyo wa boma tuulize wa apo bm kiwanja cha mil 5 kikubwa upate wap ww labda uko masaini kbsa ndo utapata mkuu