Kilimanjaro: Nowhere to compare with

Kilimanjaro: Nowhere to compare with

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,239
Reaction score
17,677
Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.

Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..

Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.

Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..

Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.

Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.

Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.

Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.

Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..

Kilimanjaro is a Blessed Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!i
 
Last edited by a moderator:
Ila kwa nini ile barabara ya kwenda TPC hainengwi? Nasikia ni sababu za kisiasa maana umuhimu wa ile barabara ni mkubwa hasa baada ya kuwepo kiwanda kingine cha Serengeti beer!

Kingine Machine Tools wanakihujumu jamani!! Lile ni bonge la kiwanda ever, kinanisikitisha sana!! kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.

Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..

Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.

Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..

Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.

Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.

Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.

Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.

Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..

Kilimanjaro is a Blessing Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!
sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?
 
Ndugu tuna viongozi ambao wana akili za nyumbu, huwezi amini kuwa Kilimanjaro machine tools wamekiua, halafu wanawaadhibu wananchi Kwa kutotoa Huduma muhimu Kwa sababu hawaichagui ccm
 
Last edited by a moderator:
Ila kwa nini ile barabara ya kwenda TPC hainengwi? Nasikia ni sababu za kisiasa maana umuhimu wa ile barabara ni mkubwa hasa baada ya kuwepo kiwanda kingine cha Serengeti beer!

Kingine Machine Tools wanakihujumu jamani!! Lile ni bonge la kiwanda ever, kinanisikitisha sana!! kiwatengu

mkuu ni kweli huu mkoa wamejaribu sana kuufanyia hujuma hawawezi..
siyo tpc tu kuna kiwanda cha bia Kibo walikihamishia mwanza, ila watu bado wanayatafuta maisha.
siasa za CCM mbaya sana, cheki mwanga na Same kuliko na Maccm.
 
KILIMANJARO NI NCHI ( tanga ,Kilimanjaro ,na Arusha ) ...kisa cha ugomvi wa Kaskazini na wengine ...
 
Last edited by a moderator:
Watanzania ambao wana chuki dhidi ya Watanzania wengine kwa sababu tu ya kabila lao, kule watokako au dini yao ni wa kuogopa kama ukoma.

ni kweli mkuu BAK
nimejaribu kusema haya baada ya kuona watu wakitumia chuki za kidini na za kisiasa kuisema Kilimanjaro.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Bro kwani serikali tatu tayari ?
 
Last edited by a moderator:
Watu wa namna hii Mkuu mie nawaogopa sana, leo wanawachukia wachagga kesho watawachukia kabila jingine. Mambo haya ya Watanzania kubaguana kwa udini, ukabila au kule utokako miaka ya nyuma hayakuwepo kabisa lakini naona siku hizi yanashamiri sana, na wa kulaumiwa si mwingine bali ni Kikwete. Umewahi kumsikia hata siku moja akikemea hali hii!? au halijui hili?

ni kweli mkuu BAK
nimejaribu kusema haya baada ya kuona watu wakitumia chuki za kidini na za kisiasa kuisema Kilimanjaro.
 
Ardhi ya Kilimanjaro imebarikiwa na Mungu. Pamaja na serikali ya CCM kutukandamiza ila bado tumesimama kidete haki ya nani mapovu yatazidi kuwatoka na Kilimanajaro itabaki kuwa juu, ardhi ya watu wenye akili na macho matatu. Haters will still hate
 
sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?

wrong notion! kama wachagga wamejenga shule nyingi kuliko Dar, au mikoa mingine tegemea kwamba muda siyo mrefu ndio watakao kuwa wengi kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa Nchini na hatimae ndio watakao jaa kwenye soko la ajira na pengine ndio watakao miliki biashara kubwakubwa Nchini.unacho sema wewe ni sawa na mtoto mwenye ndugu wengi waliofanikiwa kimaisha ili hali yeye ni masikini kimaisha halafu ajisikie fahari mafanikio ya ndugu zake wakati yeye anaishi maisha ya kimasikini kabisa!! sasa kama wewe siyo mchagga utajisikiaje fahari na kilimanjaro iliyo fanikiwa wakati kwenu sijui wapi huko watu hata vyoo hawana? wakati huko kwenu maji ya bomba hakuna kabisaa! huko kwenu kuna shule ya sekondari moja au mbili tu? watoto hawapelekwi shule na wanaona fahari kuolewa at 15? kimsingi something must be done katika mikoa mingine ili watu wapende kusoma kikweli na hatimae wapeleke maendeleo huko watokako
 
Unajua mleta uzi anajibu uzi ulioanzishwa huko nyuma kwamba kwa nini Moshi inakua polepole!!! Sasa mtoa uzi ndo anajibu mapigo kwa hicho alichoeleza. Fine, inaweza kuwa ni kweli lakini uwingi wa shule ni jambo la muda mrefu na siyo indicator ya maendeleo halisi ya eneo. Bado tunapaswa tukubali kwamba speed ya kukua kwa miji miwili maarufu hairidhishi. Na hapa lazima tuseme miji miwili ya Moshi na Tanga kama ingekuwa kwa kasi ile ya zamani hakuna cha Mwanza, Arusha au Mbeya zingetia mguu. Kwa watu wa zamani inasemekana jiji la Tanga lingeendelezwa lingeipita hata Dar na kwa kweli kuna viashiria kuwa Tanga ilijengwa na kupangwa vema halafu baadae ikatoswa au kusahauliwa. Mara nyingi utashi fulani( hasa wa kisiasa) inaweza kuwa chanzo cha yote haya!
 
wrong notion! kama wachagga wamejenga shule nyingi kuliko Dar, au mikoa mingine tegemea kwamba muda siyo mrefu ndio watakao kuwa wengi kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa Nchini na hatimae ndio watakao jaa kwenye soko la ajira na pengine ndio watakao miliki biashara kubwakubwa Nchini.unacho sema wewe ni sawa na mtoto mwenye ndugu wengi waliofanikiwa kimaisha ili hali yeye ni masikini kimaisha halafu ajisikie fahari mafanikio ya ndugu zake wakati yeye anaishi maisha ya kimasikini kabisa!! sasa kama wewe siyo mchagga utajisikiaje fahari na kilimanjaro iliyo fanikiwa wakati kwenu sijui wapi huko watu hata vyoo hawana? wakati huko kwenu maji ya bomba hakuna kabisaa! huko kwenu kuna shule ya sekondari moja au mbili tu? watoto hawapelekwi shule na wanaona fahari kuolewa at 15? kimsingi something must be done katika mikoa mingine ili watu wapende kusoma kikweli na hatimae wapeleke maendeleo huko watokako

Hadi leo Wachagga ni wasomi kama siyo namba moja basi ndani ya tatu bora wamo, lakini je mji wao wa Moshi ndiyo mji mkubwa na wa Kibiashara kuliko yote Tanzanai? Jibu ni hapana, maana yake hapo ni kwamba jambo hilo halina uhusiano na usomi wa kabila!
 
ni ngumu kwa mkoa wowote kuipita Moshi kwa jiografia yao halafu kuna tofauti kubwa ya wakazi wa Moshi na mikoa mingine ktk perception ya maendeleo niko huku Longoi ni mashambani lakini mwamko ni mkubwa sana
 
Watanzania ambao wana chuki dhidi ya Watanzania wengine kwa sababu tu ya kabila lao, kule watokako au dini yao ni wa kuogopa kama ukoma.
You are absolutely right!
 
Back
Top Bottom