Wadau nimekuwa nikipata shida sana na hii mikoa miwili, Iringa na Kilimanjaro, ni wapi kuna maendeleo zaid kisiasa, kielimu, kiuchumi, hata kwa miundombinu ya mjini! Nimesikia Halmashauri ya Moshi inajiandaa kuwa jiji ifikapo 2015, kwanini sio Halamashauri ya Iringa?
Naombeni hoja zenye kushawishi..Tukimaliza hapo tutahamia mikoa mingine
Naombeni hoja zenye kushawishi..Tukimaliza hapo tutahamia mikoa mingine