Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

Nadhani kilimanjaro ingekuwa ni nchi basi ingekuwa kwenye Middle Income Countries.

Education: Literacy rate: 95% (2010). There are 933 primary schools (887 Government, 46 Private); 313 secondary schools (215 Government, 98 Private), seven Teachers Training Colleges (three Government, four Private), 77 Vocational Training Centres (six Government, 71 Private) and five University Colleges (one public, four private).

Health Facilities: 19 Hospitals including two referral hospitals KCMC and Kibong’oto Hospitals; (six Government, 13 Private), 36 Health Centres (22 Government, 14 Private) and 341 Dispensaries (152 Government , 189 Private).

Water: Population served with clean and safe water is 72%(2010)

Roads: The region has a good road network linking it with its neighbouring regions of Tanga and Arusha and to the Republic of Kenya which gives it an access within and outside the country. In total, it has 3646.07 kilometres of roads out of which 443.8 kilometres are tarmac.


Communication: All districts are served with a landline phone service by the Tanzania Telecommunication Company (TTCL). Mobile phone services (Vodacom, Tigo, Zain, Zantel, and TTCL) are available in all towns and most parts in the rural areas. Apart from the nation-wide radio and television services provided by the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Independent Television (ITV) and Radio One. Also there are other local radio services which includes Moshi FM, Kili FM, Hai FM and Radio Sauti ya Injili. The Regional Secretariat operates the Kilimanjaro Regional website (www.kilimanjaro.go.tz) as part of its regional development and communication function.

Quoted from mpango wa maendeleo wa mkoa wa kilimanjaro miaka mitano 2011-2015.

Chakunishangaza kwenye huu mkoa majimbo yote ya uchaguzi yameshikiliwa na vyama vya upinzania kasoro Same,Mwanga na Moshi Vijijini.

Asante mkuu kwa kuja na accurate data....wengi tunaishia tu kusema hapa pako juu hapa ni vile bila data na at the end zinaokana ni hoja uharo tuu..keep it up..
 
Kwa data za mwak 2008 from Kilimanjaro Regional Website Secondary schools zilikua 295.....sijajua aspects nyingine na kwa Iringa vilevile sina accurate data.

Kilimanjaro iko mbele sana kimaendeleo...kata ninayotoka,ina shule za msingi kumi 10,umeme na maji safi,simu mitandao ya tigo,voda na airtel ...kijijini naongelea...sio mjini...na mengine mengi...iringa sijafika,walofika tupeni habari...
 
Itabidi na sisi wahehe ndugu zetu wabena na wakinga tuanze kujisifu juu ya mkoa,biashara zetu na vyeo,,,,hii itakuwa dawa tosha,,
siligagosi from liyasa and itungi
 
Neno Halmashauri ndio limekuchanganya...! Pole..! Ila kulinganisha Moshi na Iringa sio kabisa. Kwani Moshi iliendelea kimiundo mbinu, kielimu toka ebz za mkoloni na hawakuwapinga na hivyo maendeleo yalianza kitambo ila Iringa walipigana na mkoloni na hivyo kukawa hakuna mazingira rafk kwa wakoloni kufanya shughuli za maendeleo na wao wenyewe kukosa maendeleo. Hivyo basi, Moshi wapo mbali mnoooo. Naomba kuwasilisha
 
Wadau nimekuwa nikipata shida sana na hii mikoa miwili, Iringa na Kilimanjaro, ni wapi kuna maendeleo zaid kisiasa, kielimu, kiuchumi, hata kwa miundombinu ya mjini! Nimesikia Halmashauri ya Moshi inajiandaa kuwa jiji ifikapo 2015, kwanini sio Halamashauri ya Iringa?

Naombeni hoja zenye kushawishi..Tukimaliza hapo tutahamia mikoa mingine
Kwa kuwa Njombe ni mkoa Iringa inaweza kuwa chini, Ila Njombe ndio mkoa bora Tanzania tusubiri miaka Ishirini ijayo ndio tutaona nini nazungumza maana rasilimali za kilimo na madini na wajasiliamali kama waking wale jamaa wa makete wanaona mbali sana.
 
hzi data wanazotoa wachangiaj zimekusanywa xmas au!!?maana hawapatikan kwao hawa maMangi usikute iringa wanashindanishwa na washeku na wtt tu !!
 
Neno Halmashauri ndio limekuchanganya...! Pole..! Ila kulinganisha Moshi na Iringa sio kabisa. Kwani Moshi iliendelea kimiundo mbinu, kielimu toka ebz za mkoloni na hawakuwapinga na hivyo maendeleo yalianza kitambo ila Iringa walipigana na mkoloni na hivyo kukawa hakuna mazingira rafk kwa wakoloni kufanya shughuli za maendeleo na wao wenyewe kukosa maendeleo. Hivyo basi, Moshi wapo mbali mnoooo. Naomba kuwasilisha

acha kuropoka nadhani hujawahi fika iringa
 
Itabidi na sisi wahehe ndugu zetu wabena na wakinga tuanze kujisifu juu ya mkoa,biashara zetu na vyeo,,,,hii itakuwa dawa tosha,,
siligagosi from liyasa and itungi

Tatizo hatupendi kusifia kwetu kama hawa jamaa. Sijajua wanachoangalia wao ni nini.? Lukolo hapo juu amewapa data wanakimbilia kwenye mipango inayoandikwa na wanasiasa ili waonekane wanafanya kazi. Na wengine hawajafika miji yote miwili lakini bado wanataka kubishana.
 
Mmmh,nimekaa njombe mjini,iringa mjini,vijijini na mufindi[mafinga,usokami/kibengu] na kilimanjaro nimeishi rombo mkuu,moshi manispaa na vijijini,kilimanjaro ipo juu sana kwa huduma za jamii/miundombinu. vyama vya ushirika viliwaiimarisha sana!
 

Mada tamu hii we acha tu, Kilimanjaro iko juu kwa maendeleo na usafi. Siyo siri Iringa inafuata hata kwa usafi.

Ni kweli mji wa Moshi ni msafi lakini sio mkoa mzima na Iringa kama mkoa unaponzwa na viongozi MAIMUNA kama vile Lukuvi ambao wanaendekeza sana ushirikina badala ya elimu!!!
 
atleast, nimepata views, japo sijapata kile ninachokitaka!
 
Recreational areas, vp kwa mfano kumbi za disco za kisasa, hotel za kisasa, au sehemu za michezo ya watoto! vp Iringa Kilimanjaro, na hii tuangalie kwenye Manispaa tu! Nani yupo vizuri
 
Back
Top Bottom