Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

Kilimanjaro na Iringa, mkoa gani upo mbele kimaendeleo

Iringa ipo juu sana teh teh! Akili zingine bure kabisa,yaani ulinganishe kilimanjaro na iringa? Ila kweli,mbona dar na new york ziko sawa tu
Duh, sitaki kuwa biased kutokana na Uiringa wangu, but nafikiri mkuu umekuwa too extreme katika kulinganisha hii miji miwili. Mimi naifahamu Moshi vizuri sana, nazifahamu wilaya zake zilizo nyingi. Na Iringa ndiko nilikokulia. Na ninaweza kusema sioni tofauti hiyo kubwa unayotaka kutuaminisha hapa. Zaidi ya usafi na mpangilio wa mji uliopo Moshi.
 
iringa ipo juu sana teh teh!

naona utakuwa umeangalia nyuma,kushoto,kulia ulipogundua hakuna mtu karibu ndiyo ukaandika hivyo!hata hivyo mwenyewe umecheka baada ya kuandika hicho kituko.kielimu kiusafi kiuchumi wakinga/wahehe/wabena hawawezi kwa wachaga bana usidanganye umma!
 
naona utakuwa umeangalia nyuma,kushoto,kulia ulipogundua hakuna mtu karibu ndiyo ukaandika hivyo!hata hivyo mwenyewe umecheka baada ya kuandika hicho kituko.kielimu kiusafi kiuchumi wakinga/wahehe/wabena hawawezi kwa wachaga bana usidanganye umma!
Kwenye suala la uchumi nadhani umepotoka, Iringa kiuchumi ipo juu sana, fuatilia takwimu. Per capital income ya mkoa wa Iringa ndiyo ya pili kwa ukubwa baada ya mkoa wa Dar-es salaam. Tusiandikie mate, cheki takwimu za mwaka 2011 hapa: http://www.nbs.go.tz/takwimu/na/TzMainland_NA_2000-2010.pdf

Kwa upande wa Elimu, Kilimanjaro ni mkoa uliowahi kuwa juu kielimu kuliko mikoa mingine yote nchini huko nyuma. Lakini data za hivi karibuni zinaonyesha kuwa mikoa ya Ruvuma na Iringa ndiyo inaoongoza kwa idadi ya wanafunzi wanaoanza form one nchini huku Ruvuma ikiwa na karibia asilimia 72 wakati Iringa ina asilimia 71. Kilimanjaro ina asilimia around 53.

Soma kidogo hii extract hapa chini kutoka kwenye mojawapo ya report za Elimu nchini:
Free tuition has led to a massive increase in the number of children enrolled in primary schools, from 4,839,361 in 2001 to 7,959,884 in 2006 to 8,410,000 in 2008.This increase has not been accompanied by a proportional increase in resources for teachers, classrooms, and books. The ratio of pupils to qualified teachers nationwide in 2010 was 54:1, which was 35% above the goal of 40:1. Every region exceeded the goal except for Kilimanjaro and Dar es Salaam
Nashangaa watu mnafanya kejeli hapa bila hata kuwa na takwimu. Mnaisifia Kilimanjaro kutokana na usafi??
 
Mkuu hivi umewahi kuitembelea mikoa husika na ukajiuliza kama unaweza kuilinganisha? Hapa inaweza kutafsiriwa kua unawatukana watu wamkoa fulani maana kielimu na maendeleo kwa ujumla hii mikoa inatofautiana sana.
 
Nadhani kilimanjaro ingekuwa ni nchi basi ingekuwa kwenye Middle Income Countries.

Education: Literacy rate: 95% (2010). There are 933 primary schools (887 Government, 46 Private); 313 secondary schools (215 Government, 98 Private), seven Teachers Training Colleges (three Government, four Private), 77 Vocational Training Centres (six Government, 71 Private) and five University Colleges (one public, four private).

Health Facilities: 19 Hospitals including two referral hospitals KCMC and Kibong’oto Hospitals; (six Government, 13 Private), 36 Health Centres (22 Government, 14 Private) and 341 Dispensaries (152 Government , 189 Private).

Water: Population served with clean and safe water is 72%(2010)

Roads: The region has a good road network linking it with its neighbouring regions of Tanga and Arusha and to the Republic of Kenya which gives it an access within and outside the country. In total, it has 3646.07 kilometres of roads out of which 443.8 kilometres are tarmac.


Communication: All districts are served with a landline phone service by the Tanzania Telecommunication Company (TTCL). Mobile phone services (Vodacom, Tigo, Zain, Zantel, and TTCL) are available in all towns and most parts in the rural areas. Apart from the nation-wide radio and television services provided by the Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Independent Television (ITV) and Radio One. Also there are other local radio services which includes Moshi FM, Kili FM, Hai FM and Radio Sauti ya Injili. The Regional Secretariat operates the Kilimanjaro Regional website (www.kilimanjaro.go.tz) as part of its regional development and communication function.

Quoted from mpango wa maendeleo wa mkoa wa kilimanjaro miaka mitano 2011-2015.

Chakunishangaza kwenye huu mkoa majimbo yote ya uchaguzi yameshikiliwa na vyama vya upinzania kasoro Same,Mwanga na Moshi Vijijini.
 
Hii mada ni tamu sana,kiukweli mimi nimekaa mikoa yote hiyo naifahamu vizuri sana,pia niseme wazi mimi siyo mzawa wa mkoa moja wapo,ila honestly ukilinganisha kiuchumi mkoa wa Iringa na Kilimanjaro,Iringa iko juu sana,ila kielimu Kilimanjaro iko juu.Mtoa mada ulitakiwa utoe mwongozo,ulitaka wapambanishwe kwenye nyanja gani,eidha uchumi,population,elimu,nguvu kazi nk hapo mpambano ungenoga zaidi.
 
Mpambano unaendelea Kuna watu hapo wanataka kuvuruga,tathimini yangu Iringa IPO juu hasa kiviwanda,usafiri na usafi pia,sema watu wake ni wapole sio wakujitangaza.
 
Iringa wapo juu wana teknolojia za ajabu wanabadilisha risasi kuwa maji.
Kilimanjaro wanafatia maana wakazi wake wana uwezo wa kuwa mamilionea kwa mtaji wa pipi tatu tu za ivory.
 
Mbingu na ardhi,klm balaa aisee,nyumba zimepangika,usafi wa nguvu,maendeleo ya kutosha
 
Mbingu na ardhi,klm balaa aisee,nyumba zimepangika,usafi wa nguvu,maendeleo ya kutosha
Tumieni data kutoa hoja zenu. Iringa ni moja kati ya mikoa mitano ambayo ni very strong economically hapa nchini. Mikoa hiyo ni Dar, Mwanza, Mbeya, Shinyanga na Iringa. Kilimanjaro is nothing; economically na hata kielimu (kwa takwimu za kati ya 2010 hadi 2012). Iringa ni ya pili kimapato baada ya Dar es salaam. Wewe unaongea kitu gani? Soma document hii hapa chini. Usipende kutoa hoja bila vielelezo.

Source
 
Ngoja nichangie,,,Kilimanjaro nimetumia muda wangu mwingi wa elimu ya sekondari pale na mara ya mwisho kuwa pale ni 2012 july,,,Iringa ndipo nitokako na mwaka huu mwezi uliopita nilikuwa pale,,,,

kiuchumi.
Hizi halmashauri zinakaribia kwa uchumi wa ndani,mzunguko wa pesa ila kwa wingi wa watu nadhani iringa sasa hivi inaizidi klm,,

Usafi.
Kwa vile ni mkazi wa mwanza huwa sioni sifa ya usafi wa moshi/iringa ni ipi,,so i can judge their equal.

Kielimu.
Irnga ina shule za serikali nyingi na wasomi wengi wa nchi hii wamepita hapa,,klm ina shule nyingi za kidini na wasomi wengi wamepita hapa,,,,idadi ya wasomi wanyalukolo,wakinga,wabena haina tofauti kabisa na wachaga,wapare,wagweno shida ni majina ya makabila ya mkoa wa iringa ni ngumu kuyatambua(not familiar ka wachaga)

so to my take iringa na klm ziwe majiji kwani hakuna tofauti yeyote ila wa klm wanapenda kusifia mji wao kuliko kawaida tofauti na watu wa iringa,,
 
Back
Top Bottom