Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

sourcea kutoka nbs zinaojesha kwamba baada ya dar na arusha mkoa wa kilimanjaro ni wa tatu kwa kuwa na lodges na hotel,reosrts bars,pubs,gaderns motel,homestays camp sites nk nyingi na asilimia zaidi ya tisina zinamlikiwa na wachagga kwahiyo hii ni faida kubwa kwa hawa wenzetu
 
kazi kazi sio [emoji23]
Wanakuja kumdanga nani? Mtu anatoka kukimbia kachoka, ataweza hizo mambo kweli?
Weee!!!!usione ukadhani bestie huko Kuna mengi mnoo!!! mwanaume anaeruhusu mkewe aende namshangaaa
 
Hao watu waache tamaa , huo ni upuuzi na dhuluma.
Wageni wakirimiwe na sio kuumizwa .
Wengi watanungunika na sio Baraka hiyo.
Jikumbushe kwanza kwenye mji wa Moshi wanaishi kina nani. Ukipata jibu utaona kwamba huo upigaji umekutana na wahusika original na hakunaga laana kwenye pesa.

Mimi naona wapigwe tu maana tukiachana na wale wachache walioenda kweli kukimbia mbio ila wengi wameenda kustarehe. Uzinzi unaoendelea hapo sio wa kawaida. Wake na waume za watu huyatumia hayo mashindano kufanikisha maovu yao. Acha kina Mangi wawafunze adabu kwa kupandisha bei za vyumba.
 
Naona watu wanalalamika kuhusu bei
Tumekuwa tukiona hata kusikia sehemu inapokutanisha watu wengi bei za bidhaa hata huduma hupanda
 
Back
Top Bottom