Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

Katika haya mashindano huwa Kuna wazungu wengi sana , wengine ni Wakenya na Ethiopia ( Wazee Wakazi )
Kwa hiyo gharama lazima ziwe kubwa
Wakenya mwaka huu wengi Sana...na hao sio wale professional athletes TU ila social runner wa kawaida..mbio pendwa hii Africa mashariki..hamna kama hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tokea nayajua hayo mashindano , ni watanzania kama 3 niliona wamechukua hela za ushindi
Ila kiufupi , ushindi hua unaenda Kenya.
Kenya huwa zinakuja na team serious kwa ushindi
 
Back
Top Bottom