Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

Kilimanjaro Marathon: Bei ya hoteli haishikiki

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Huwa tunaona kwenye mabus kuna mamlaka huwa inazuia upandaji wa bei holela, vipi kwenye hili la hotel, lodge na guest?

Yaani Moshi kesho na Jumamosi hotel ya 25,000 unalipa 75,000 ya elfu, hotel ya 50,000 unalipa 150,000.

Screenshot_20230223-192938_1.jpg
Screenshot_20230223-201900_1.jpg
 
Huwa tunaona kwenye mabus Kuna mamlaka huwa inazui upandaji wa Bei holela vip kwenye hili la hotel,lodge na guest? Yaani Moshi kesho na jumamosi hotel ya 25,000 unalipa 75,000 ya elfu ,hotel ya 50,000 unalipa 150,000View attachment 2527785View attachment 2527786
Nani kawaambia mpeleke kwa hao majambazi? Hamuwajui wachaga siyo? Mtajuta kuwafahamu na kiherehere chenu.
 
Back
Top Bottom