Hakuna aliyesema TZ hakuna corona. Linalosemwa ni kwamba kusiwe na hofu ya kupita kiasi ambayo hiyo peke yake inaweza kukufanya uugue na hata kufa kabisa. Zama za ukimwi ulipoanza kuna watu walikonda na kudhoofika sana walipodhania wameukwaa ugonjwa. Vipimo vilipokuja kuonyesha hawana huo ugonjwa miili ikanawili na mpaka sasa bado wanadunda. La muhimu kwa sasa ni kuzingatia maelekezo tupewayo kama kuvaa barakoa, kunawa mara kwa mara, kutosongamana watu wengi, na juu ya yote kusali na kutokuwa na msongo wa mawazo. Hayo yakifanyika hakuna haja ya lockdown. Tuchape kazi kama kawaida mengine tukimwachia Mola...hili siyo tangazo la utalii, bali ni kutisha watalii.
..kama Tz hakuna covid19, basi viongozi wavue hizo mask na gloves ili kuwahakikishia watalii kuwa life has returned to normal in Tanzania.
Kwanini wawe na hofu while hata uko kwao ipo yani unazungumza as if wakija tanzania wanakuja kuambukizwa wakati huko kwao ndio imejaa ila wao wameamua kuichukulia poa uwe unasikiliza vyombo vya habari vya kimataifa uone ulaya hali ikoje
Acha povu haendi mtu tanzania kuna korona.wewe ni mpumbavu
swedeni maisha yanaendelea na wanafuata taratibu za afya walizoambiwa
Na watalii wanaenda kama kawaida ,ila wewe kilaza umekaza ubongo tu huelewi nini sasa
Watalii wanajua corona haitaisha, na maisha lazima yaendelee, tahadhari ni muhimu
Sasa wapumbavu kama nyie ndio mnasababisha Tanzania tuonekane wajinga
wewe ni mpumbavu