Kilimanjaro: Bweni la Shule ya Kaloleni Islamic lateketea kwa moto

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bweni la Shule ya Sekondari ya Kaloleni Islamic inayomilikiwa na Africa Muslim Agency limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa ni mara ya 3 kwa Shule hiyo kuungua.

Mkaguzi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeremiah Mkomagi amesema moto huo mkubwa ulianzia kwenye chumba ambacho hutumika kama stoo.

Ameeleza, "Ni bweni la ghorofa moja na wakati tunafika tulikuta 'wing' ya kwanza vyumba 6 vyote vimeshika moto, tulipambana na tukauzima huo moto kwenye saa 5:45 usiku"

Amesema "Chanzo hakijabainika kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa shule kuungua na hii ni mara ya tatu, tunaendelea na uchunguzi wa kina ili kujua kwanini hizi shule zinaungua mara kwa mara"

Kwenye tukio hilo hakuna majeruhi wala kifo kwa sababu wanafunzi waliondolewa mapema na kupelekwa sehemu salama, vitu vilivyoungua ni nguo zao, vitanda na madaftari

1602222278701.png
 
Wanahujumiana hao....mwisho wa mgogoro huu utaibuka ugomvi wa wazi......hapo itakua mbaya sana
 
Wanahujumiana hao....mwisho wa mgogoro huu utaibuka ugomvi wa wazi......hapo itakua mbaya sana
Ni shule za muslim tuu...waachwe wapambane..
ila mnachotutafuta waislam mtakipata ...
Kuna shida mahala, hasa kwa ndugu zetu Waislam nadhani kuna jambo hawaridhiki nalo.
ila mnachotutafuta waislam mtakipata ...
Mnajuaje kuwa ni wao wenyewe na si mtu wa nje wa jumuia yao?
 
Kuna shida mahala, hasa kwa ndugu zetu Waislam nadhani kuna jambo hawaridhiki nalo.

Serikali anabidi kujitahindi to infiltrate all questionable Muslim schools so as to find the real culprit. Knowledge imparted into our young ones by educators trained in certain questionable countries should be vetted so as to ensure our children get the right and befitting religious knowledge.

Kuna waalimu wengine wamepata mafunzo yao Saudi Arabia, Egypt, Syria, Iran, Germany, Sudan, Algeria, Russia, China, Palestinian, thorough investigation should be conducted since teachers come back into our country with different religious affiliation!
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki huwa inajiita dona kantri.Nchi hii imekuwa na tabia ya kujifanyia uhalifu yenyewe kama vile kuua wanasiasa wa chama chake kinachotawala halafu inafanya kusingizia ni upinzani,yaani siasa fulani hivi za kijinga na za maji taka.

Kama kuna mtu haitilii shaka hiyo serekali ya nchi hiyo katika matukio kama haya basi huyo mtu ni mbumbumbu!
 
Huyo mtu wa nje ya jumuiya yao anatafuta nini?Ana itikadi gani?

Sijawahi kusikia itikadi yoyote inayochokoza watu wa dini nyingine kwa vitisho.Aidha hakuna imani nyingine inayohamasisha matumizi ya nguvu katika kumtetea Mungu.

Naona ndiyo sababu watu wamefikiri ni wao wenyewe kama ilivyo somalia.
Mnajuaje kuwa ni wao wenyewe na si mtu wa nje wa jumuia yao?
 
Waislam ni threat kwa serikali na taifa hili. BAKWATA wakishindwa kuwanyong'onyeza wasiimarike zaidi kupitia miundombinu kama shule, serikali inapiga kazi yenyewe, hatutaki ujinga sisi.
 
Back
Top Bottom