Kilimanjaro: Bweni la Shule ya Kaloleni Islamic lateketea kwa moto

Waislam ni threat kwa serikali na taifa hili. BAKWATA wakishindwa kuwanyong'onyeza wasiimarike zaidi kupitia miundombinu kama shule, serikali inapiga kazi yenyewe, hatutaki ujinga sisi.
Serikari najua inapita humu

Watu kama wewe mnaleta uchochezi kwenye jamii

Kua makini inaweza ukaitwa mahali flani kufafanua maneno yako
 
nashauri ni vyema wanafunzi wote wakahojiwa kwa kina,inawezekana chanzo kimesababishwa na wanafunzi wenyewe, maana kuna naadhi ya wanafunzi wanasema walinusa harufu ya njiti kuwashwa.......anzieni hapo lazima mtabaini mhusika.
 
Ukute ni wanafunzi wamechoma labda wamechoka kusoma wanatamani likizo kidogo maana wadau mlifunguka humu kuwa kuna kipindi mlitaka kuchoma shule
 
Sio gwajima ameanza mchakato wa kuzogeuza kuwa shule za jumapili kama ambavyo aliwahi kutamka.
 
acha kutoa povu subir matokeo yake !
unadahani tumesahau kauli kauli za yule kafir kipindi kile kanisani kwake au unadhani waislam tumelala saaaaana eh ?
Hapa unamaanisha wakristo ndio wamewachomea shule yenu?.
 
Sio gwajima ameanza mchakato wa kuzogeuza kuwa shule za jumapili kama ambavyo aliwahi kutamka.
Gwajima ni askofu, rafiki wa waislam. Kamwe hawezi fanya hivyo. Hiyo kauli yake ilimaanisha, neno la Mungu litahubiriwa kwa nguvu na kila kona ya Tanzania itasikia. Hapo yamkini hata watu wa imani nyingine watampa Yesu maisha yao.
 
Waislam ni threat kwa serikali na taifa hili. BAKWATA wakishindwa kuwanyong'onyeza wasiimarike zaidi kupitia miundombinu kama shule, serikali inapiga kazi yenyewe, hatutaki ujinga sisi.
Mi siyo moslem but napingana na unachokisema. In my opinion wamiliki wa shule hizi ni wazembe na hawana mifumo ya control, aidha hawatii weredi katika shughuli zao bali undugu katika imani
 
Gwajima ni askofu, rafiki wa waislam. Kamwe hawezi fanya hivyo. Hiyo kauli yake ilimaanisha, neno la Mungu litahubiriwa kwa nguvu na kila kona ya Tanzania itasikia. Hapo yamkini hata watu wa imani nyingine watampa Yesu maisha yao.
Anakuaje rafiki wa majini(rejea kauli yake dhidi ya uislamu)
 
Back
Top Bottom