Kilimanjaro bus Express inakaribia kufa?

Kilimanjaro bus Express inakaribia kufa?

Nakumbuka kusoma humu kifo cha mmiliki wa hii kampuni.

Nadhani watapambana wataipandisha.
 
Kilimanjaro bus imefufuka bwana tumpe moyo mwekezaji. Wasiwasi wangu ni kwa Dar express.
Dar Express kubadilika hataki anang'ang'ania kununua bus za bei kubwa model za zamani huku Mchina akitoa bus model mpya zinazovutia wateja.

Kuna hao Tilisho na Esther na michina yao wanampeleka mswaki haijawi kutokea.
 
Kampuni kongwe ya mabasi ya kilimanjaro express inahali mbaya kutuzama basi yake tu. Imebakia kujivunia jina ambalo sasa nalo sioni kama litadumu.

Mara kadhaa mabasi yao yamekuwa yakipata hitirafu barabarani.
Unaweza ukawa umekata VIP mkajikuta mmeletewa kolokwinyo la kuwafikisha tu.

Leo tena, namsindikiza abiria kindakindaki wa hiyo kampuni yamemkuta ya kenge.

Binafsi sitalitumia basi hilo wala kumkatia mtu tiketi hadi watakapo amua kufanya uwekezaji.View attachment 2680672
View attachment 2680673
ulishiriki wakati wa kuunda kampuni? Ife isife inakuhusu nini, kafanye mambo yako km usafiri makampuni yako mengi
 
Mbona Niko kwenye Kilimanjaro muda huu na sioni tatizo lolote? Na pia nimepanda two weeks ago sikuona tatizo lolote?

Ndio tumetoka Arusha saa Saba mchana, Sasa hivi anatembea Hadi 105km/hr
 
Fungua kampuni yako Mkuu uajiri wataokosa kazi Bandarini
Mkuu yani bora afungue tu kampuni yake aajiri watakaotoka bandarini kuwanusuru kutatuliwa marinda. Waarabu kwao vitu viwili ni muhuimu kutatua marinda na kuswali mara tano kwa siku.

Hata huko loliondo na ngorongoro walipojimilikia wafanyakaz kwaanzia walinzi hadi wapishi ni mwendo wakutemper na marinda yao.

Accumen Mo 25000q
 
Back
Top Bottom