Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,617
imekufa lini mbona inakimbiza sanaMbona ilishakufaaa hiyoo...!! inabeba mizigo na parcel tuu...
imekufa lini mbona inakimbiza sanaMbona ilishakufaaa hiyoo...!! inabeba mizigo na parcel tuu...
kweche lakini luxury we ulitaka luxury chukua vipSitasahau tumekata bus luxury abiria wangu alikuwa anapandia njia ..yaani ukaja bonge la mkweche ndio apande, so hayo mabasi sio favourite kwangu kama nina safari za Arusha bora BM wakisema luxury ni luxury kweli..
Vizuri kama ameshaingiza vyuma mkuu. Maana nimeshangaa sana kuwa hilo ndilo basi la VIP.
Kwa niaba ya wasafiri wa huko, zifikishe salamu, ayaweke haraka barabarani asisubiri ifike december. Sio hizo marcopol za akina scandinavia.
Luxury unaitafutia kwenye mabasi TZ? Kisa mnapewa juice? Hiyo BM hotel inayosimama Moro ni kichekeshoSitasahau tumekata bus luxury abiria wangu alikuwa anapandia njia ..yaani ukaja bonge la mkweche ndio apande, so hayo mabasi sio favourite kwangu kama nina safari za Arusha bora BM wakisema luxury ni luxury kweli..
Ameruhusiwa lini tena na Latra kufanya safari za jioni kuanzia saa moja usiku?View attachment 2682340
Hebu mtake radhi mzee Roland Sawaya...hebu angalia hii ratiba halafu urudi hapa.
Ilishanikuta hiyo. Nimekata bus la 45,000 nikakuta lile Yutong namba B. Hilo bus halifai kabisa.Sitasahau tumekata bus luxury abiria wangu alikuwa anapandia njia ..yaani ukaja bonge la mkweche ndio apande, so hayo mabasi sio favourite kwangu kama nina safari za Arusha bora BM wakisema luxury ni luxury kweli..
Ilishanikuta hiyo. Nimekata bus la 45,000 nikakuta lile Yutong namba B. Hilo bus halifai kabisa.
Fitna chuki wivu wa biashara.....watakuwa wamejaribu ushirikina wakakutana na BWANA NDIYE.......Sasa anakuja huku kuliaKilimanjaro Bus... so sad km inaelekea kufa
Mkuu naona huelewi vifaa vya moto na barabarani vile vinakuwa! Enewei huyu mtu anayeitwa Kilimanjaro Bus, kwa kweli Yuko vizuri mno na sa hivi ni 24 hrs barabarani kwa kweli anaupiga mwingi, customer care..usafi wa ma bus nk. Bus yake moja ni sawa na BM 10 nadhan.....ha ha ha haa....SCANIA vs YUTONG