Kilimanjaro bus Express inakaribia kufa?

Kilimanjaro bus Express inakaribia kufa?

Sijui kwa nini hii biashara si endelevu, wote baada ya msa hufa, BM anamtoa nje Kilimanjaro siku si nyingi, Abood naye kaleta vitu vipya hiyo njia ni balaaa, ingawa service na customer care ya Abood ni ya hovyo, huwezi sevu basi zima coca cola, unauliza kwa nn? Anasema hakuna aina ingine, Rubbish

Kweli kabisa mkuu, abood customer care ni hivyo sana.
 
Dar Express kubadilika hataki anang'ang'ania kununua bus za bei kubwa model za zamani huku Mchina akitoa bus model mpya zinazovutia wateja.

Kuna hao Tilisho na Esther na michina yao wanampeleka mswaki haijawi kutokea.

Kama Arusha express. Wale jamaa nadhani hadi leo wanatumia basi za 97+.
 
ulishiriki wakati wa kuunda kampuni? Ife isife inakuhusu nini, kafanye mambo yako km usafiri makampuni yako mengi

Utakuwa cheupe wewe, kisa bahari ipo uzaramoni na mwarabu aliwepo hapo unaona ni cha mwarabu.

Kwani hiyo kampuni inabeba familia yake mkuu? Wewe tu serikali ina interest na wewe huwezi sembuse kampuni kubwa na kongwe kama hii ya Kilimanjaro express.
 
Kikubwa hasa ni nini? Gari imeharibika baada tu ya kutoka stend au? Maana uzi umeleta saa 7 : 15 AM
Elezea nini kimetokea, usionekane unasugulia kunguni.
Basi lilikuwa baya kinyume na matazamio yake!.
 
Kuna mdau wa magari amejaribu kudokeza kinacho igharimu hii kampuni nikuendekeza hizo marcopolo ambao nao watengenezaji wanajaribu kuziboresha ziendane na ushindani wa aina nyingine za mabasi.

Shida inakuwa ni mafundi wa kuyatazama hayo mabasi na namna ya madereva wanavyoyatumia hupeleka kuua baadhi ya vifaa nyeti vy magari.

Ushauri wangu, asuone gharama kupeleka vijana kujifunza kwa watengenezaji ili wamlindie haya magari.
 
20230708_212037.jpg

Hebu mtake radhi mzee Roland Sawaya...hebu angalia hii ratiba halafu urudi hapa.
 
Back
Top Bottom