GE2025 Kilichotokea ni Jaribio la Mapinduzi lililofeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere

Walisema watalinda kura ziko wapi!!!
 
Wewe jamaa bora ukabadilisha tu hii ID yako. Kwa sababu umeshaipoteza ile heshima uliyokuwa nayo hapo mwanzo. Kiukweli watu walio wengi humu kwa sasa wanakudharaua sana.
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Kaendelee kutongoza wasimbe twitter. Achana na siasa usizoziweza. Sawa zee la muaaaha?
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Utakapopoteza wapendwa wako utajua hujui.
Acha dharau kebehi majivuno msaliti qmmkooooo
Tuache na Tanganyika Yetu Hamia zenji usitujazie server kwa upulusi wako
 
Naomba nijibiwe.
Yeriko alipata kura ngapi? Au tuseme alishinda kwa kura ngapi?
Hiyo project ya CHAUBWABWA ilikuwepo kama toilet paper kusafisha uchafuzi mkuu kazi imeisha imeshatupiliwa mbali.

Mtu alikua busy mitandaoni kuandika upuuzi kupambama na Lissu aliyepo gerezani na aina ya PR stunts alizoita ni kampeni ni kichekesho.
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Ewe Jasusi Bamia, kibaraka wa Mbowe jifunze kwanza kutongoza, issue za mapinduzi ni kubwa sana kwako kuzijadili.
20251105_185042.jpg
20251105_184910.jpg
20251105_184948.jpg
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Kuna siku inakuja.... utaacha kabisa kabisa kukejeli watu waliouawa bila kosa! Nina uhakika na hili jambo ninalolisema.
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Wewe tangu wamekufumua malinda kipindi kile ulivyowekwa lockup naona akili haijakaa sawa. Bado shahawa za wakulungwa zipo mwilini.
 
Sio huyu Yericko Nyerere aliyerubuniwa na kugombea ubunge Kigamboni?
What happened? The guy used to be very wise.
Ubunge ameupata? Chama chake kimepata viti vingapi? Asking for a Kenyan friend.
Haka kajamaa hakajawahi kuwa smart hata siku moja. Kwanza kichwa chake ni dakika mbili mbele. Ila mwache alete kejeli kwenye misiba tu, kuna siku atajuta.
 
Wewe mpumbavu kule X nmekublock,ngoja na hapa nkuweke kwa ignore list
 
🚮🚮🚮🚮🚮 USELESS
 
Haka kajamaa hakajawahi kuwa smart hata siku moja. Kwanza kichwa chake ni dakika mbili mbele. Ila mwache alete kejeli kwenye misiba tu, kuna siku atajuta.
Vitabu vyake ni copy and paste ya makala za habibu luhanga, jamaa fulani hivi hapa jf zamani alikua anajiita The bold, sijui kapotelea wapi sasa hivi
 
Tangaza Ofa ya kitabu chako mwaka wa tano huu
 
Back
Top Bottom