GE2025 Kilichotokea ni Jaribio la Mapinduzi lililofeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Mbwa huyu🚮🚮🚮🚮
 
Ila mkuu kwa kweli umejidhalilisha sana. Nilikua nakiheshimu sana.
 
Hivi mtu kama huyu kwanza alikuwa mpinzani leo hata msimamo hana, ikifika siku hata ulinzi hana, uchawa, lakini hao waliopotelewa na ndugu zao wakija kumsulubu utaona huruma? Haonyesi remorse, no conscience kama mbwa
 
Ile ilikuwa No Reforms No Election ,na kweli Election haikufanyika bali ni UHUNI.

Mapinduzi,uasi ,ugaidi na maneneo yanayofanana na hoyo haikuwa tar 29 ,yale ni maandamno ya kupinga UHUNI.

Kungekuwa na Reforms nina uhakika kwa sera zako ungeshinda UBUNGE.

Kifuatacho ITV .... Nakuona ukienda kuunga Mkono JUHUDI za SAMUYA NYWI NYWI NYWI ili kupata uDC/URAS.
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Ila mkuu kwa kweli umejidhalilisha sana. Nilikua nakuheshimu.
 
Ukweli upo wazi Kigenge kilichojiaminisha mazito kinaumbuka
 
Halafu wewe jamaa acha ukquma hapa watu tunahasira sana. Shukuru wengine hatuishi Dar wewe unatakiwa uongezwe kwenye list ya kusalimiwa
 
Yawezekana ikawa kweli au sio kweli ila angalia cha msingi why yapate support ya watu ??? Hapa ndio pa kujifunza.
Sababu ni kuwa maisha yamekuwa tyt,watu hawana vipato ,ajira ni tatizo.
Angalia mtu mwenye shine angeweza toka vipi kuandamana.
 
Hata kama unaandika upuuzi ili upate uteuzi but not to this extent brother....!

right ungejua mioyo ya watu ilivyo na uchungu wa kupoteza ndugu zao ungefunga hilo bakuli lako....
 
Mapinduzi ni kumtoa na kumuweka mtu...

Sidhani kama yale yalimuwa ni mapinduzi.

Yale yalikuwa ni maandamano.
 
Back
Top Bottom