Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,183
- 6,358
Akili huna.
Wewe ndio mpumbavu yeye katoa maoni yake na wewe toa yako unataka kila mtu awe na maoni kama yako?Hili lijamaa ni lijinga na pumbafu kabisa
Sasa wewe ni mjinga sana unawekaje DM za mtu public?Hata kutongoza hujui, DM zako zimevuja, una first touch mbovu sana kùma weee
View attachment 3497567
View attachment 3497846
View attachment 3497848
😄 🤣Hata kutongoza hujui, DM zako zimevuja, una first touch mbovu sana kùma weee
View attachment 3497567
View attachment 3497846
View attachment 3497848
Ukiwa jasusi hutombi!?😄 🤣
Jasusi uchwara anatongoza
Jasusi na nyege wapi na wapi, anakuwa bize na mission tu, huyu jasusi kiboro dinda pumbavu zakeUkiwa jasusi hutombi!?
Mission siyo kila sikuJasusi na nyege wapi na wapi, anakuwa bize na mission tu, huyu jasusi kiboro dinda pumbavu zake
Kwahiyo umeshinda kwa kuwa vijana wamekufa pia mali za watz zimechomwa moto au?Yawezekana kwa akiri finyu sana na ukizingatia na upofu aliowatia mwenyezi Mungu ndo maana ukasema mapinduzi, yamefeli.
Kwanza tambua kwa mwanadamu kuamua jambo haijalishi atafikia malengo kwa 10% ama zote 100% ni ushindi mkubwa sana. Ni ushindi kwasababu walioshindwa kabisa ni wale ambao ushindwa hata kabla ya kulianza jambo kwenyewe na ambao ni wengi na wewe ukiwa mmoja wao. Lakini kwa tulichokifanya watanzania tumeshinda kwa 80% kwasababu sauti zimeenda hewani, matendo yameonekana na adhima imetambulika bayana kuanzia kwako hadi kwa makaburu.
Sasa kwasababu unadhani tumefeli basi tambua pia tumejifunza mambo mengi sana na yamkini si ya kuwekwa hadharani lakini tunayo mengi kuanzia, maandalizi, matarajio, mafanikio na yatarajiwayo. Tumejifunza mengi sana hivyo kesho ikija katu hatutakuwa kama jana, jana itabaki kuwa jana.
Bahati mbaya ni kwenu nyie ambao hamkuweza kupata lolote la kujifunza maana mtabakia na dharau zenu angali sie tunaodharaulika tukirudi darasani haraka kumalizia tuliyoyapata.
Lakini msisahau, haijawahi nguvu yoyote ile ya kuzuia mabadiliko. Inawezekana ikachukua miongo na mifano ipo lakini itafanikiwa tu. Mfano mzuri Mwl. Nyerere alifika mahala akanyoosha mikono kwa mabadiliko, akina Mkwawa walijitahidi lakini walikwama, Hilter alipambana lakini muda ulifika akakwama.. so hata nyie mda unakuja mtajikuta muda si wenu tena na hapo ndo mtaelewa ya kwamba mla naye si mfa naye bali mzaliwa naye.
Hili jamaa jinga kweli 😹😹Hata kutongoza hujui, DM zako zimevuja, una first touch mbovu sana kùma weee
View attachment 3497567
View attachment 3497846
View attachment 3497848
Hauna zingine tupunguze stress 😹😹😹Hata kutongoza hujui, DM zako zimevuja, una first touch mbovu sana kùma weee
View attachment 3497567
View attachment 3497846
View attachment 3497848
Aibu naona mimi 😂😂 hiki ndiyo nini sasa?Hili jamaa jinga kweli 😹😹
Na msura wake ulivyo mzito sasa ana haki ya kukataliwa 🤣
Binti wa zamani mwanakwetu njoo uone mtongozo huku 😹😹
Yani nimecheka huyu wampime kichwani hayuko sawa..!!
Aibu naona mimi 😂😂 hiki ndiyo nini sasa?
Nimecheka hapo kwa baby wa ndoto zako na nikupe zawadi ambayo hujawahi kupewa 😹😹😹
Kwahiyo wanahusika na jaribio hilo la mapinduzi?So bwana Yeriko ungependa wakina heche, Lisu wapewe kesi ya ugaidi
Chauma baada ya kukosa ubunge wameahidiwa ukuu w wilaya usione Yeriko anahangaika hivi