GE2025 Kilichotokea ni Jaribio la Mapinduzi lililofeli

GE2025 Kilichotokea ni Jaribio la Mapinduzi lililofeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yeriko utoe credit kwa hili bandiko lako maana huna kichwa Cha kuandika haya... Copy and paste.. plagiarism is REAL
 
Huyu ni miongoni mwa waliokosa uwezo mkubwa wa fikra, halafu anaamini ana uelewa mkubwa!!
 
Umepata kura ngapi kwanza🤣🤣🤣
 
Cha msingi ni kwamba ume declare kuwa hayo ni maoni yako binafsi sio ya watanzania. Kikatiba na kisheria kila mtu ana haki ya kutoa maoni hata kama maoni hayo ni pumba.
 
HILI JAMAA SASA HIVI LINABOA AISEE HATA KULIJIBU NAJISIKIA VIBAYA
 
Vitabu vyake ni copy and paste ya makala za habibu luhanga, jamaa fulani hivi hapa jf zamani alikua anajiita The bold, sijui kapotelea wapi sasa hivi
Copy and paste halafu akajaribu kufanya modification, vikawa havina maana. Ni muunganiko wa sentensi zisizo na maana.
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Ingekuwa umepoteza ndugu hata mmoja kwa kutekwa na wasiojulikana, usingeandika takataka namna hii.
 
Hapo Mbeleni Wenzio wakishakukatisha moto , ionekane umekatoshwa moto na Wananchi wenye Visasi.

Sawa.
 
Wewe unajizima data au ni nini? Mapinduzi gani wakati hakuwa Rais siku ya uchaguzi? Unawezaje sema yalikuwa ni mapinduzi kwa siku kama ile?
 
Mzee na wewe vitega uchumi vyako unatembea navyo kama Ommy Dimpoz ndio maana unatamba?
 
So bwana Yeriko ungependa wakina heche, Lisu wapewe kesi ya ugaidi

Chauma baada ya kukosa ubunge wameahidiwa ukuu w wilaya usione Yeriko anahangaika hivi
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
 
Attachments

  • 6ca194063178c0ee498d20b8e26dedee.mp4
    366.4 KB
  • 7c1e4bc962f09d9ac59e49ef90877210.mp4
    1.4 MB
Back
Top Bottom