GE2025 Kilichotokea ni Jaribio la Mapinduzi lililofeli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,018
Reaction score
20,489
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
F1FF62C8-48C9-439E-8359-5D9F9C97129B.jpeg
 
Civil unrest sio jaribio la mapinduzi

Jaribio la mapinduzi huwa linakuwa carefully planned
 
Kama yale ya kumtoa Sultani mwarabu mfuga watumwa huko Zanzibar, ambayo ndiyo yamefanya Bibie Samia Suluhu kutembea kifua mbele.
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimantiki na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!

Na Yericko Nyerere
Mpakwa mafuta wa Bwana
 
Takataka.
 
Jasusi mbobevu. Mimi nilichoona ni vurugu zilizoambatana na uharibifu wa mali zilizotokana na wananchi wenye hasira kali wakilinga kile kinachoitwa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom