jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,370
Kwahiyo tushinde twitter muda wote kufuatilia taarifa za Tanesco watakata umeme muda gan ha ha ha haLawama zingine bwana.
Hivi wewe unaweza kujua muda gani hitilafu inaweza kutokea?
Mbona kukiwa na matengenezo huwa wanatoa taarifa?
Wafuatilie huko twitter utaona updates zao.