Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,527
Makubwa hayaAh kumbe upo znz bila shaka utakuwa na rangi ya mtume from dubai
Makubwa hayaAh kumbe upo znz bila shaka utakuwa na rangi ya mtume from dubai
Shukrani kwa taarifa.SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUREJEA KWA UMEME KATIKA MIKOA ILIYOUNGWA KATIKA GRID YA TAIFA
Tunawataarifu Wateja wetu na Wananchi kwa ujumla kuwa, baadhi ya Mikoa iliyounganishwa na Gridi ya Taifa imeanza kupata huduma ya umeme .
Mikoa iliyo kwisha pata umeme ni pamoja na Iringa , Mbeya ,Dodoma, Morogoro Pamoja na Baadhi ya Maeneo ya Mkoa wa Dar es Salam.
Mafundi na Wataalamu wa Shirika bado wako kazini Kuhakikisha kuwa Huduma ya Umeme inarejea mapema kadri iwezekanavyo.
Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.
Uongozi wa Shirika unaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
Tafadhali usishike wa kukanyaga waya ulioanguka au uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetu
IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
MACHI 10, 2018
Dar mbona umerudi?Nyie hamkuchagua CCM utarudi kesho kutwa.
Akawaulize Al Masry!unashangaa umeme kukatika Tz?
Kumbe upo A town!Arusha utarejea lini?
Usiwe mnyonge sana mkuuHeeh! Nimekuwa rubbish? Ahsante Mkubwa wangu
Tatizo nini mkuuMikoa ya Morogoro, Dodoma, Mbeya , Iringa na baadhi ya maeneo ya Mkoanwa Dar es Salaam huduma ya umeme imerejea
Tegeta hadi bunju bado!Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Mbeya , Iringa na baadhi ya maeneo ya Mkoanwa Dar es Salaam huduma ya umeme imerejea
Shauri zenu hamieni Chattle mtapata umeme wa kutosha na haukatiki hata siku moja.JAMANI MAENEO YA MWANANYAMALA UMEME UMEKATIKA KUANZIA SAA 10 USIKU HADI SASA! VIPI MAENEO MENGINE?JE KUNA TAARIFA YEYOTE HALI HII IMESABABISHWA NA NINI?
Hahahaha..!!Nyie hamkuchagua CCM utarudi kesho kutwa.
bora tanesco umekuja.Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Mbeya , Iringa na baadhi ya maeneo ya Mkoanwa Dar es Salaam huduma ya umeme imerejea
Mbona hamusemi tatizo ni nini mpaka umeme kukatika...????SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)