Kilichosababisha umeme kukatika alfajiri

TANESCO

Official Account
Jul 12, 2014
4,584
2,104
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA MIKOA ILIYOUNGWA KATIKA GRID YA TAIFA

Tunawataarifu Wateja wetu na Wananchi kwa ujumla kuwa, majira ya saa 8:49 Usiku kumetokea hitilafu katika mfumo wa Grid ya Taifa. Hitilafu iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme katika Maeneo na Mikoa yote iliyoungwa kwenye Grid ya Taifa.

Baada ya Hitilafu hiyo Kutokea, Mafundi na Wataalamu wa Shirika Wamechukua hatua za haraka na bado wako kazini Kuhakikisha kuwa Huduma ya Umeme inarejea mapema kadri iwezekanavyo.


Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Uongozi wa Shirika unaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Tafadhali usishike wa kukanyaga waya ulioanguka au uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Kwa mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetu

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

MACHI 10, 2018
 
JAMANI MAENEO YA MWANANYAMALA UMEME UMEKATIKA KUANZIA SAA 10 USIKU HADI SASA! VIPI MAENEO MENGINE?JE KUNA TAARIFA YEYOTE HALI HII IMESABABISHWA NA NINI?
 
Hili tatizo limetokea zaidi ya mara tatno katika utawala wa Faru J
 
JAMANI MAENEO YA MWANANYAMALA UMEME UMEKATIKA KUANZIA SAA 10 USIKU HADI SASA! VIPI MAENEO MENGINE?JE KUNA TAARIFA YEYOTE HALI HII IMESABABISHWA NA NINI?
Mbona kawaida sana kukatika umeme, sioni cha ajabu au huko hukatikagi??
 
Back
Top Bottom