kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,184
nasikia inakuja na power bank zakeIle treni hata ruvu sijui kama itafika... Kwa umeme huu huu wa bongo!
nasikia inakuja na power bank zakeIle treni hata ruvu sijui kama itafika... Kwa umeme huu huu wa bongo!
Kwan hujaoa mpaka leo?Mimi ndio nlikuwa narudi nyumbani halaf umeme ukaondoka,sasa mfano ningekuwa na shemeji yenu si ingekuwa hasara jana.
Unataka kunipa mchango?Kwan hujaoa mpaka leo?
Asante sana kwa taarifa
Hivi yule Mbunge aliyesema kuwa huwezi kurara na mama bila maji anaitwa nani?Mimi ndio nlikuwa narudi nyumbani halaf umeme ukaondoka,sasa mfano ningekuwa na shemeji yenu si ingekuwa hasara jana.
mnakatakata sana umeme bila taarifa mabwege nyie..mnakata halafu dk 5 mnarudisha..maana yake nn!?Taarifa hotelewa kabla pale ambapo kuna katizo lililopangwa mkuu ila kwa dharura ndio tunawajulisha
Dodoma HaupoMikoa ya Morogoro, Dodoma, Mbeya , Iringa na baadhi ya maeneo ya Mkoanwa Dar es Salaam huduma ya umeme imerejea
Aise we mkundugu kwa nini matusi lakinimnakatakata sana umeme bila taarifa mabwege nyie..mnakata halafu dk 5 mnarudisha..maana yake nn!?
Wameshaturudishia...Nyie hamkuchagua CCM utarudi kesho kutwa.
Dharura? Week kadhaa hapa nyuma mlikuwa sijui mnarekebisha nguzo mitaa ya tandale umeme mkawa mnakata kila siku bila taarifa mkitoa taarifa mtaroa leo kesho hamtoiTaarifa hotelewa kabla pale ambapo kuna katizo lililopangwa mkuu ila kwa dharura ndio tunawajulisha