Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,636
- 44,392
Unanikoti vibaya, lkn ni haki yako kufikiri uwezavyo
Zamani ulikuwa unampa
Unanikoti vibaya, lkn ni haki yako kufikiri uwezavyo
Niliibiwa ..nakihitaji icho chakoMkuu kwani hicho chako kinatumika na nani hata utake changu
Hata changu kimeibwaNiliibiwa ..nakihitaji icho chako
Nalikwambia uwe bodigadi wangu, ukanikataliahabari ya hapa, unaonekana mtram, unavutia sana kwa macho. Au una sauti ya kumtoa nyoka shimoni. Maingezi mawili matatu jamaa amesimamisha, Dah!
Lakini pia wanaume kwa kawaida tunaweza kusimamisha bila sababu za msingi.
Mentor heshima kwako mkuuUnajua thread yako hii huenda umeiandika kimzaha lakini ndicho kinachowakuta wadada wengi.
Baadaye mnakuja kusema mtu amekubaka.
Kwanza lazima ufahamu, mtu hakutendei jambo bila wewe kumruhusu. Ndicho anachokiongea Nokia83 .
Kama hukuwa na nia yoyote na bwana huyo mara tu alipoonesha signs za kukushushia heshima ulipaswa umkemee na afahamu kuwa wewe si wa hivyo alivyokufikiri.
Kukimbia na kujichekesha na kuwaza sijui ungemsaidiaje ni sign kwetu wasomaji tu kuwa angekupata wakati muafaka angekukula tu.
Endelea kutuaminisha vingine lakini nakuhakikishia kwa mentality hiyo utaendelea kuwa victim wa mabwana wale kila mara.
achana na "bwana yule" njoo hukuMentor heshima kwako mkuu
Kwanza nalistaajabu kwa MTU km yule jinsi navyomuheshimu km kaka mkubwa
Sikutegemea km kichwan mwake anazini nami, nalishikwa na butwaa sana,
Mentor kutomkemea kwangu hakumaanishi hivyo, mpaka nikukalie uchi ujue mifupa na damu yangu vimewasiliana na kukubaliana
Hili ni gubegube..na apaa linatangaza biashara akeUnajua thread yako hii huenda umeiandika kimzaha lakini ndicho kinachowakuta wadada wengi.
Baadaye mnakuja kusema mtu amekubaka.
Kwanza lazima ufahamu, mtu hakutendei jambo bila wewe kumruhusu. Ndicho anachokiongea Nokia83 .
Kama hukuwa na nia yoyote na bwana huyo mara tu alipoonesha signs za kukushushia heshima ulipaswa umkemee na afahamu kuwa wewe si wa hivyo alivyokufikiri.
Kukimbia na kujichekesha na kuwaza sijui ungemsaidiaje ni sign kwetu wasomaji tu kuwa angekupata wakati muafaka angekukula tu.
Endelea kutuaminisha vingine lakini nakuhakikishia kwa mentality hiyo utaendelea kuwa victim wa mabwana wale kila mara.
ww unauza nyapu maofisini unazuga na biashara za chupi.Heshima kwenu wanajamvi
Leo ktk pilika pilika zangu za hapa na pale, nikiwa na biashara zangu za kukopesha madera, vyupi, sidiria nk,
Nalipata kukutana na bwana mmoja hiv mitaa fulan hapa jijini, twafahamiana kidogo, isipokuwa hatujapata kuonana kitambo, bwana yule alifurahi aliponiona hali kadhalika bibi mie nilifurahika pia,
Bwana yule hakutaka tusimame sana tulipokutania, badala yake alitaka niingie ofisini kwake kutoka tuliposimama jengo lapili yake ili nipafahamu, basi nalifanya hivyo bila hiana.
Tulipoingia alinitambulisha kwa watu wake, baadae tukaingia ndani ofisini kwake sasa, bwana yule alitaka nikae kwa kiti, nalifanya hivyo pasi na shaka, tuliongea mawili matatu nikataka kuondoka, nikamwambia bwana yule, wacha niende nishapafaham tena nitakuja wakati mwingine, akasema sawa.
Ile nainuka toka kwa kiti na yy anainuka alipoketi, kumwangalia vizuri bwana yule tayari suruali yake hapa mbele palivimba sana, ile nasogelea mlango akanambia bibi wewe, nikamwitika bwana wewe! Akasema inamaana hujaona? Nikamuuliza, sijaona nini?
Akasema huoni bwana huyu anataka kuchana suruali, nikaguna kidogo, nikamwambia bwana ww sijui nini wasema, Mara paap! Akanisogelea, nilistuka kidogo, nikamwambia bwana wewe samahan nachelewa kukusanya madeni yangu, nitakujia wakati mwingine, akanambia sasa waniachaje na hali hii? Hakyanani niliishiwa pozi,
Bahati nzuri wakati natafakari nimtulize kwa jibu gani, secretary wake akagonga mlango, ndo ikawa njia ya bibi mie kutoka mbio kwenye hilo tundu LA sindano.
Sijamuelewa bwana yule, zile ni nyege gani? maana yake nini kunivimbishia mdude wake tena ofisini kwake? Ni MTU ambaye twaheshimiana sana kanishangaza mno,
Yule secretary nimemshukuru sana, maana nyege mshindo alizonionyesha bosi wake si za sayari hii,
Sikukataa, niliogopa kuwa naweza kushawishika kuwa "bodigadi mpendwa"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nalikwambia uwe bodigadi wangu, ukanikatalia