-powerful gadgets walizofunga za masafaSWALI:
Ivi kwanini Hao wakenya au nchi za jirani Wakisogea karibu na mipaka yetu huwa simu zao hazinasi minara yakwetu kama zinavyofanya simu zetu??
Hahahaa mkuu tunajionaga tunakunywa ila kuna watu ni walevi duniani ila kuhusu wanawake kukodi sijaliona bado kwa kweli...Vp mkuu tupe ushuhuda wa ukweli kuhusu wanawake wa kichaga huko kukodi vidume vya kikenya kwa ajili ya tendo la ndoa na mbegu.Maana inasemekana wanaume wa kichaga jongoo kajikunyata kutokana unywaji komoni na mbege uliopitiliza.
Wakodi wanaume kutoka Kenya
Nilipofika vanga ambapo nimekua nimeingia Kenya tigo tz ikakata ikabaki mara safaricom mara tigo Kenya nilipofika mpakani siku ya kurudi ikarudi tigo tz yangu na kitendo cha kufika horohoro upande wa Kenya sms hazitoki Wala kuingiaDuuuh, endapo ukiwa Kenya mpakani mwa Tz je inaweza ikachange au ukatumiwa sms toka huku kama ambavyo inatokea huku sijui
Haya kwemaMabokweni, Kisosora, Amboni, mikocheni,
Maramba, Moa
Sasa Tanzania tunashindwa Wapi? Kama inamanufaa kwanini tusifuate mfumo huo?-powerful gadgets walizofunga za masafa
- wamesogeza kidogo mipaka ya masafa kwenye satellites receivers
Kuanzia mkuu,mashati,useri na tarakea unapata coverages ya mitandao ya simu toka kenya,hata redio za fm nyingi unapata za KenyaWeka Screenshot isije ikiwa ni ubuyu mpya wa Umbea!
Nimepamisi Tanga Kinyama, adneiku eitipin ednewt etosHaya kwema
Inshallah tukijaliwa uzimaNimepamisi Tanga Kinyama, adneiku eitipin ednewt etos
Tupe ufafanuzi mkuu ntu au nkuu rombo?Karibuni ROMBO MKUU
Usiogope bhana, Mods wasikuizi wanahuruma sana, wala hawagawi Ban kama zamaniInshallah tukijaliwa uzima
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Usiogope bhana, Mods wasikuizi wanahuruma sana, wala hawagawi Ban kama zamani
Redio kushika Frequency za Nchi nyingine ni kawaida sana hasa kwenye maeneo ya mipakani mwa Nchi, Hilo suala la mitandao ya simu ni vigumu sana kunimezesha kwamba inawezekana wakati ukipiga simu unakatwa kodi ya Nchi za Kimataifa sio kitaifa. Bado suajelewa hapo kwa kweli!!Kuanzia mkuu,mashati,useri na tarakea unapata coverages ya mitandao ya simu toka kenya,hata redio za fm nyingi unapata za Kenya
Hata maji ya kuoga huungwa asmini na hal-udinimecheka hahahha nikuekee maji viungo
Siasa mingiSasa Tanzania tunashindwa Wapi? Kama inamanufaa kwanini tusifuate mfumo huo?
Of course but sio hiliki mdalasini Na karafuuHata maji ya kuoga huungwa asmini na hal-udi