sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,920
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mengine jibu kwa kiswahili, ni nafuu kwa afya ya ubongo wako
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mengine jibu kwa kiswahili, ni nafuu kwa afya ya ubongo wako
Nini tena??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi tena mkuu???hahaaa
hio hali kitaalam.ni kwamba ubongo unawahi kuamka kabla. mwili sasa hapo ndo inatokea hali ya kujitutumua ubongo uko macho ila mwili uko usinguzini
Mama ake unasinzia, no??? Maana naona full stops zimekaa sipo, usinguzini imeeleweka haswa na kadhalika na kadhalikahio hali kitaalam.ni kwamba ubongo unawahi kuamka kabla. mwili sasa hapo ndo inatokea hali ya kujitutumua ubongo uko macho ila mwili uko usinguzini
😄😄😄😄😄Mwenye nyumba anakukumbusha umlipe kodi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mengine jibu kwa kiswahili, ni nafuu kwa afya ya ubongo wako
[emoji23][emoji23][emoji23] hii treatment nmeipenda,ntaitumia hta kwa mtu wangu akikoroma hhhSleep on your side. Sleep paralysis occurs more often when you sleep on your back. This may be due to the tongue falling back into the throat and causing a temporary air blockage. Try sleeping on your side instead to lower the probability that you will have an episode. If you often end up on your back, sew a pocket or pin a sock to the back of your nightshirt and insert a tennis ball or two to break the habit.
Wataalamu wakikupa ushauri, ikiwezekana watoe somo ziada la stroke ndogo ndogo ambazo huwapata watu ila watu hawa notice mpaka siku ikitokea kubwa zaidi na kupelekea paralysis type zingneHabari za usiku
Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi
Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano
😂😂😂😂Mengine jibu kwa kiswahili, ni nafuu kwa afya ya ubongo wako
Mengine jibu kwa kiswahili, ni nafuu kwa afya ya ubongo wako
Hahahahah!I wanted to say the same thing, but Sababu nlizingatia kitu kinaitwa data redundancy, I had to look around if somebody has arleady corrected her, I did not want repitition of the same thing, because i knew somebody must have seen that mistake, sasa kwakua this is the first comment ilotoa ushauri basi i had to comment on it.. No offense, ila in additon to what the other dude has said, Ras Simba anahusika kusema ukweli...OVA
usilale sana lala kiasi alafu kwa usahihi usije fia usingizini.Habari za usiku
Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi
Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano
anazikwa au tumpe Mshana Jr apige mwili moto.Akifa?
akiwa mchafu ataota ndoto mbaya mbaya hahahahahaKula vizuri,fanya mazoezi,na punguza mawazo....kabla ya kulala uoge kupunguza uchovu;hii inasaidia kuota ndoto nzuri nzuri
Akikujibu unitag...Kwahyo umeandika huku umelala sio!?