kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,620
ana daftari moja tu anaandika masomo yote ha ha ha haHahahaahhaahahah
Halafu alikuwa akikaa kona kabisa kule🤣🤣🤣🤣🤣
ana daftari moja tu anaandika masomo yote ha ha ha haHahahaahhaahahah
Halafu alikuwa akikaa kona kabisa kule🤣🤣🤣🤣🤣
Aiseeeee🤣🤣🤣🤣🤣ana daftari moja tu anaandika masomo yote ha ha ha ha
Hahahahah!
For real bro, I mean it's a no brainer to force yourself into writing or speaking a language for the sake of being seen as a master of it. Unless you are trying to work on the "practices make perfect " notion.
hahahahahahahahahhahahah contert ya mada inatoka kwa jinsia ya kike mm nimebashiri tuu ki hivyo ila sijamaanisha aseeeeeeeee kuwa ******************************************** oiKumbe ni ka kike
Subutuuuuuu, dunia imeharibika sana, nalipenda kalio langu, ulinzi ni mhimu kabla ya yote,Usilale chali
Umesema?Thanks am just understand
ukisali tu bila kufanya hayo mengine vp sala inafeli???Jinamizi :
Kabla ya kulala :
1.Sali Kabla na baada ya kulala
2.Usilale chali
3.Kunywa maji mengi.
4.Usilale bila kuoga (tendo la mwisho Kabla ya kusali na kulala liwe kuoga)
Ukizingatia hayo halafu ukapalalaizi tena bac mi cjui unaumwa nn.... Mtafute mshana
acha uongo ,kelele???? ile hali sauti haitoki hata kidogohiyo kitu haina tiba mkuu, imenitesa for almost 15 years. Nilikua naadhirika sana bwenini napiga makelele usiku yaani acha tuu. Chamsingi usile sana usiku, hii mbinu nimejaribu na hiyo hali haijanitokea karibia mwaka sasa. Ikiwezekana usile kabisa usiku.
Hii kitu inanitokeaga sana. Unakuwa umelala, unataka kuamka au hata kuongea inashindikana unatamani kama kuna mwenzako ajue shida hiyo lakini hawezi kwani huwezi hata kujitingisha. DAWA; Sijawahi kuuliza dawa ila HUWA NAVUTA PUMZI NYINGI/ NAPUMUA KWA NGUVU HATA MARA SABA tayari ninapata uwezo wa kujigeuza na kuongea. Baada ya kusoma biology nikagundua mtu anakuwa ana pata kiazi kidogo cha oxgen kwa hiyo UKIVUTA PUNZI KWA NGUVU unakiongeza.Habari za usiku
Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi
Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano
nime experience sleep paralysisi sana tuu mkuu usinibishie.acha uongo ,kelele???? ile hali sauti haitoki hata kidogo
hahaahaaa yani ile hali sauti itoke tena sana ,basi hiyo yako ni tofauti sana,kwa kawaida mtu anajitahidi kutoa sauti lakini hata tone la sauti halitoki.wewe ulikua unaota haukuwa kwenye sleep paralyisisnime experience sleep paralysisi sana tuu mkuu usinibishie.
1)hua kama mwili unakufa ganzi huwezi kujitikisa hata kidole
2) huwezi kutamka maneno kiurahisi but sauti hua inatoka sana
Labda kuna aina tofaut za SP
Rei hajambo?
Inawezekana sana.. But Inategemea na kiwango chako cha imaniukisali tu bila kufanya hayo mengine vp sala inafeli???
Sleep paralysis sio kwa ajili ya kukudhuru ni kwa ajili ya kukulinda endapo ikitokea unaota ndoto zinazopelekea mwili wako kutaka kutenda kutokana na ndoto issue inayoweza pelekea ukadondoka toka kitandani, au ukajiNg'ata usingizini, kwa hiyo ukilala tu mwili unaparalyse misuli inajam haiwezi kumove,Habari za usiku
Hivi kuna mtu anayefaham sleeping paralysis mara nyingi utokea ukiwa umelala sana kuna hali inakuja ya kutaka kuongea na kushindwa katika usingizi
Hivi hii hali na inaweza kutibika jamano