Mwana kinyonga
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 377
- 227
Mimi nilivyokuja mjini, kutwa nilikua nashinda mataa ya Ubungo namuangalia yule jamaa anayetembea na kusimama kwenye kavideo "kaskrini" ka kuongoza wavukao kwa miguu...Siku zote nilikua mmoja ni steringi na mwingine kubwa la maadui na huko kwetu Kyamba Kitali sikuwahi kuona video.
Ha ha ha