Kilichonikumba nilipoingia MJINI kwa mara ya KWANZA

Kilichonikumba nilipoingia MJINI kwa mara ya KWANZA

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
Huu ni ukweli mtupu,
sikuweza kugundua tofauti ya mabeseni hayo.
Baada ya kumaliza haja zangu nikaondoka.
Baada ya nusu saa, nikaja kuinuliwa kwenye meza


206032_10200237409916835_1465884253_n.jpg
 
ndo maana wakubwa wanasema kuuliza si ujinga. Bora uonekane mshamba kuliko kupata fedheha heheheeeee pole yake.
 
BUJIBUJI HIZI NDO THREAD TULIZO ZOEA kuona ukipost.....!
ile ya relation sijui umeitoa wapi kwakweli....na hizi umefanana nazo.
 
5.jpg
Bujibuji ona sasa huyo jamaa yako aliyokaa kitu alichonifanyia, amenipa kazi ya ziada.
Mpaka sasa nizibue choo kwanza ndo nijisaidie!!!!!!!!!!!
 
Huu ni ukweli mtupu,
sikuweza kugundua tofauti ya mabeseni hayo.
Baada ya kumaliza haja zangu nikaondoka.
Baada ya nusu saa, nikaja kuinuliwa kwenye meza


206032_10200237409916835_1465884253_n.jpg

Hii ilitokea sana uwanja wa Taifa wakati unafunguliwa watu wamezoea vyoo vya passport size walivyo ona hayo mabeseni wakawa wanakata gogo humo humo
 
Ujumbe umewafikia wajanja wajinga wanajidai kila hili wanalijua
 
Hii ilitokea sana uwanja wa Taifa wakati unafunguliwa watu wamezoea vyoo vya passport size walivyo ona hayo mabeseni wakawa wanakata gogo humo humo

Mkuu Fidel80, wengine waliyang'oa na kuondoka nayo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilivyokuja mjini, kutwa nilikua nashinda mataa ya Ubungo namuangalia yule jamaa anayetembea na kusimama kwenye kavideo "kaskrini" ka kuongoza wavukao kwa miguu...Siku zote nilijua mmoja ni steringi na mwingine kubwa la maadui na huko kwetu Kyamba Kitali sikuwahi kuona video.
 
Back
Top Bottom