Alichokifanya diamond so cha kizalendo. Akikuwa sahihi alivyotendewa saws,lakini njia aliyotumia so sahihi ni ya kujaribu kulihujumu shirika. Huwezi kujaribu kulihujumu shirika kwasoro zinazozungumzika,by the way alipokuwa anachukua video alipewa kibali na nani na then kuisambaza.sikio lisizidi kichwa.Ninavyoelewa mwanamziki Diamond ni kipenzi cha mkuu lakini Diamond alisahau pale mwanza alipotoa clip kwenye You Tube akiiponda shirika la ndege la Tanzania baada ya yeye kuchelewa kufika airport. Kama mjuavyo hili shirika ndilo Mkuu analifufua hawezi kukubali mtu yeyote alichafue
Nfhhyuùu!!!Sli
Alichokifanya diamond so cha kizalendo. Akikuwa sahihi alivyotendewa saws,lakini njia aliyotumia so sahihi ni ya kujaribu kulihujumu shirika. Huwezi kujaribu kulihujumu shirika kwasoro zinazozungumzika,by the way alipokuwa anachukua video alipewa kibali na nani na then kuisambaza.sikio lisizidi kichwa.
Acheni kukuza maneno, basi jiwe atakuwa bogus sana. Kama Diamond kulalamikia huduma mbovu ndio aanze kuvimbishiana nae, aisee hii nchi hataiweza na mwisho wake mbaya sana.Sli
Alichokifanya diamond so cha kizalendo. Akikuwa sahihi alivyotendewa saws,lakini njia aliyotumia so sahihi ni ya kujaribu kulihujumu shirika. Huwezi kujaribu kulihujumu shirika kwasoro zinazozungumzika,by the way alipokuwa anachukua video alipewa kibali na nani na then kuisambaza.sikio lisizidi kichwa.
Kwa hyo ile ilikuwa njia sahihi ya kufikisha malalmiko?diamond atambue tu yy ni mdodo sana kwa ATCL nidhamu kwa shirika hlo ni muhimu sana. Who is diamond by the way. Tumempa heshima amekuwa diamond kavimba kichwa,sasa ajue tu sikio haliwezi kuzidi kichwa.Acheni kukuza maneno, basi jiwe atakuwa bogus sana. Kama Diamond kulalamikia huduma mbovu ndio aanze kuvimbishiana nae, aisee hii nchi hataiweza na mwisho wake mbaya sana.
Ndivyo mlivyo maskini, kwenu nyie kumchukia tajiri kunawafanya mtajirike. Pole sana, ATCL nadhani kubwa kushinda familia yako tu!!Kwa hyo ile ilikuwa njia sahihi ya kufikisha malalmiko?diamond atambue tu yy ni mdodo sana kwa ATCL nidhamu kwa shirika hlo ni muhimu sana. Who is diamond by the way. Tumempa heshima amekuwa diamond kavimba kichwa,sasa ajue tu sikio haliwezi kuzidi kichwa.
We ni pimbi kweli.tajiri nani?Diamond?Unjua kuna masikini wenye umaarufu alafu kuna matajiri?Ndivyo mlivyo maskini, kwenu nyie kumchukia tajiri kunawafanya mtajirike. Pole sana, ATCL nadhani kubwa kushinda familia yako tu!!
Sawasawa.ila kuna wajinga humu wanaona alichofanya ni sawa tu.watu wanahangaika kulifufua shirika alafu anatokea MTU mmoja anaejiona ye ni maarufu sana na kutaka kulichafua.hatuwezi kukubaliana na ujinga wa namna hii.Diamond kwa wadhfa alionao hakutakiwa kuanza kurecord. . . ni ujinga na kujipunguzia hadhi kwa msanii mkubwa kama yeye. Njia nzuri angeweza kufanya nikupeleka malalamika kwa kiongozi wa shirika. Nia uhakika kiongozi huyo angemsikiliza na angelifanyia kazi hilo suala rather than kupost hiyo video mtandaoni. Mimi na udogo wangu wote huu siwezi fanya hivo. Ni sawasawa na watu wanasutana au kupigana afu unarecord ili utume mtandaoni
Jambo la kupiga vita kabisa hiliSawasawa.ila kuna wajinga humu wanaona alichofanya ni sawa tu.watu wanahangaika kulifufua shirika alafu anatokea MTU mmoja anaejiona ye ni maarufu sana na kutaka kulichafua.hatuwezi kukubaliana na ujinga wa namna hii.
Kwa mtindo huu na mawazo haya basi maendeleo tutayasikia South Sudan.Kwa hyo ile ilikuwa njia sahihi ya kufikisha malalmiko?diamond atambue tu yy ni mdodo sana kwa ATCL nidhamu kwa shirika hlo ni muhimu sana. Who is diamond by the way. Tumempa heshima amekuwa diamond kavimba kichwa,sasa ajue tu sikio haliwezi kuzidi kichwa.
Sli
Alichokifanya diamond so cha kizalendo. Akikuwa sahihi alivyotendewa saws,lakini njia aliyotumia so sahihi ni ya kujaribu kulihujumu shirika. Huwezi kujaribu kulihujumu shirika kwasoro zinazozungumzika,by the way alipokuwa anachukua video alipewa kibali na nani na then kuisambaza.sikio lisizidi kichwa.
Uzalendo kwanza mbwembwe baadae.Kwa mtindo huu na mawazo haya basi maendeleo tutayasikia South Sudan.
Uzalendo kwanza mbwembwe baadae.
Kama tngo pori gani?utim .... Unawasumbua nyie.mnakuwa km wazee ndioooo...!hats kama alikuwa amelala.Wadanganyika mmezoea kulishwa matango pori na ndio maana mkiambiwa ukweli mnachukia
Kama tngo pori gani?utim .... Unawasumbua nyie.mnakuwa km wazee ndioooo...!hats kama alikuwa amelala.
Kwa IQ yko we huwezi kuliona kosa na wala si kosa lako.Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli. Lipi kosa la Diamomd hapo? Poor you!
Kwa IQ yko we huwezi kuliona kosa na wala si kosa lako.
Mbn mi situmii lugha ya kuudh ndugu.hili jukwaa hlihitji hasira bt great thinking mzee otherwise nenda kwenye majukwaa ya kibao kata.Hadi utakapojitambua na kuanza kutumia akili yako ndipo utakapojuta kutumia akili za wengine ili kupata ugali. Poor you!