Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA